My gorgeous little boy is here!!!

Hongera Pretty kwa kuwa mama.....sleepless nights.....changing nappies...huhitaji msaada uniajiri natoza kwa masaa tu....hongera sana mwaya na nakutakia malezi mema.
 
Hongera sana mwaya..
na Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda...
 
Hongera Pretty kwa kuwa mama.....sleepless nights.....changing nappies...huhitaji msaada uniajiri natoza kwa masaa tu....hongera sana mwaya na nakutakia malezi mema.

dah JS umenikumbusha hiyo sleepless night inavyokera mwe. Hongera pretty mwenyez mungu akukuzie ni raha sana kuitwa mama
 
Hongera sana sana ila umeniudhi, si uliniahidi atakua wa kike ili awe mke wangu kwa kufuatana na mila zetu za kimasai? haaya asante kwa kunisaliti but thank you for a safe delivery!! Praise the LORD
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…