My Heart (Cassper & Diamond): The best cut-up in Coke Studio.

My Heart (Cassper & Diamond): The best cut-up in Coke Studio.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
kwangu hii ni the best cut-up za cut-ups zote za Coke studio. Cassper sio wa mchezo ukisikiliza kazi zake za nyuma kwenye Album ya Tsholofelo utasema ni rapper ambaye kakosa stylistics na delivery.

kitu ambacho waliokuwa wanasema ni zaidi ya AKA na KO nilikuwa napingana nao. [Btw mimi ni shabiki wa AKA]. Cassper na Diamond kwa hii track wanahitaji credits kubwa.

Najua Africa kuna rappers wanafanya vizuri kama M.I, stanley eno, L.Tido, Ice prince and sark, ila jamaa anaupekee wake na bila kumsahau sarkodie.

Bongo kwa rap bado, labda wajichanganye kama diamond waambukizwe swaggas...

NB: Mziki ni ushabiki na kufurahishwa nafsi.

moyo wangu unaenda .....

She gives me joy, make my heart go....

Diamond should Try Ragga Muffin, The new version ya Diamond kwenye Kurap kwangu ni nzur zaid kuliko nyimbo anazotoa sasa hvi.
Refer kwenye Fresh Remix na ile Teaser ya all way up.
 
Diamond should Try Ragga Muffin, The new version ya diamond kwenye Kurap kwangu ni nzur zaid kuliko nyimbo anazotoa sasa hvi.
Reffer kwenye Fresh Remix na ile Teaser ya all way up.
What are you tryin to convey mzee?

This track is bonny[dope].

Mond anajitahidi saana ofcoz anajua sio kwenye kuimbs tu hadi kurap... ni kawaida kazi za msanii chache kutokuleta tokeo hata kama yupo mainstream.
 
Hatari ni hatari acha anipe case murder..
 
collabo ya hatari sn hiyo huwasichoki kuisikiliza hata jana nimeiplay all the day....
"moyo wng unaenda paraparaaa lalalaaaaaaaaaa!!!" hiyo ngoma ni noma mno
 
collabo ya hatari sn hiyo huwasichoki kuisikiliza hata jana nimeiplay all the day....
"moyo wng unaenda paraparaaa lalalaaaaaaaaaa!!!" hiyo ngoma ni noma mno
Coke wanazingatia hatua zote za utayarishaji wa mziki.. sio hizi track za kupush na skendo.
 
I concur with u hii ngoma kali Sana sichoki kuisikiliza!
 
I concur with u hii ngoma kali Sana sichoki kuisikiliza!
Alipoimba Afrcan queen alizingua saana.. watu wakaanza kusema diamond live hawezi.

Kwenye hii alipania saana.
 
Coke wanazingatia hatua zote za utayarishaji wa mziki.. sio hizi track za kupush na skendo.
ni kweli mkuu maana kama ni gitaa unalisikia gitaa kweli kifupi vyombo vingi vimetumika
 
Diamond should Try Ragga Muffin, The new version ya Diamond kwenye Kurap kwangu ni nzur zaid kuliko nyimbo anazotoa sasa hvi.
Refer kwenye Fresh Remix na ile Teaser ya all way up.
Me mwenyewe Mond namuona kwenye Ragga lkn kwa kuimba naona Coke linampeleka jina tu. Na wengine ni upenz tu ndo unawafanya wasione mapungufu ya Mondi pale studio. Nifatilia clip moja hapo Coke anaimba live, hamna kitu. Afanye Ragga na Muffin kubana pua awaachie akina Baraka Da Prince.
 
Kwa hiyo mkuu ma rapper wote bongo hujawaona, umewaona kina sarkodie tu?
 
Bila shaka unazungmzia ile clip ya African Queen. Alizingua kweli.

Mond mwanzo alikuwa anatafuta fan base kubwa hasa kupitia shows kwa dancing. Ndiyo maana Mond live kwake ilikuwa mwiko na alitumua jukwaa kuteka mashabiki kwa hiyo style.. wengi ndiyo maana mkawa mnamweka hapo.

Ila kwangu naona anafit kote, ukimwona sio ragga ila is the best track...nitarejea he did the best.
 
Kwa hiyo mkuu ma rapper wote bongo hujawaona, umewaona kina sarkodie tu?
wapo wanajitahidi kwa kiasi chao ila kwa kina sarkodie hawajafika. Rap sio kukaza lyrics tu...

stylitics, swaggs delivery ni muhimu saana.
 
Ragga muffin ndo nini...sema iyo na Casper nzuri sana siichoki pia
 
Me mwenyewe Mond namuona kwenye Ragga lkn kwa kuimba naona Coke linampeleka jina tu. Na wengine ni upenz tu ndo unawafanya wasione mapungufu ya Mondi pale studio. Nifatilia clip moja hapo Coke anaimba live, hamna kitu. Afanye Ragga na Muffin kubana pua awaachie akina Baraka Da Prince.
Yah ni kwe abadilike kule ili aweze kuendlea kwenye huu mzik maana naona wabana pua wanaongezeka na hata kwenye WCB washakuwa weng so akifanya hiyo aina itakuwa mpya then ataongeza Mashabik Pia
 
Diamond na wasanii wengi kwenye L wanaweka R and vice versa...
 
Diamond na wasanii wengi kwenye L wanaweka R and vice versa...
Wengi wa dar wanafanya hivyo sio wasanii tu hasa l wanaipenda... utaskia katoto kanakuambia uninichimba mkwala,
 
Ipo poa sana, hata kwa simu yangu nimeipa kipaumbele.
 
Back
Top Bottom