My hubby amekua addicted na online social networking

kastue na kitochi pale kwa mama sebereeee na wewe

hahaaaaa mwaya sijui hilo jina si la mgombani hivi ni la ki-HE au SHE?

wakwetu maana ya hilo jina muulize iribini ndio mkalimani wa kule kwetu
 
eeewaaaa!!
na baada ya hapo, akapate kitochi alichoangiziwa na bht pale kwa Mama Josafati
 
Tatizo hajaingia kwenye ile sredi yangu ya utambuzi. Mpaka sasa ni 50/50 kwahiyo Stukeni! Stuka mshiki!
 
ha ha ha ha ki-bruray kazi mkeku!!

Meku kwenye he mtu anaweka she, mwisho wake concept nzima ina kaa kinyume na maadili ya kitanzania tchaaaaaaaaaa!!! my hubby....i have dated her..... (puliz)

eeewaaaa!!
na baada ya hapo, akapate kitochi alichoangiziwa na bht pale kwa Mama Josafati

hahaaa anauza iliyochanganywa na molases huyo......
 
Meku kwenye he mtu anaweka she, mwisho wake concept nzima ina kaa kinyume na maadili ya kitanzania tchaaaaaaaaaa!!! my hubby....i have dated her..... (puliz)

hahaaa anauza iliyochanganywa na molases huyo......

Biggie Is Totally Confused! Please Help! Wapi Bigirita?
 
Me is very very as well!
infakti, iteitei lya kite must be a biological error, kama wataalamu wanashindwa kumtambua!
 
Act before is too Late!
 
Biggie Is Totally Confused! Please Help! Wapi Bigirita?

wat iz confusing you here?
tatizo la kupeleka watoto intaneshino wakati nyie wenyewe darasa la nne....

biggy huyo mleta thread kibluray chake kinaleta mkanganyiko....

hubby anapenda social networks
Iteitei dated her.........sasa whose husband is this Itei tei talking about here??
 
mi bado nimepata kizunguzungu na hiki kisa,usikute mwenye mada anamaanisha vitu vingiine kabisa vya kuji-express
 
Attachments

  • Tigo.JPG
    5.3 KB · Views: 30

Nime-run confirmatory test hapa, naona inaleta jina la 70% DUME.
 
Me is very very as well!
infakti, iteitei lya kite must be a biological error, kama wataalamu wanashindwa kumtambua!
haaaaa jamani unaniua B, plz spare my kidogo left energy fo the day......
 
Mamushka hebu edit hilo jina.

Bigirita please do the needful! Tunashindwa kuchangia hii sredi.

ha ha ha haaaa, hili jina la Brigitta, bibi yangu hawezi kulitamka mpaka leo...analitamka BIRINGITA.
Please Briggita, help us in this kindumbwendumbwe...lakini hebu nijaribu hivi kweli sio MAHABUBA kwa kiswahili?
 
Leo Comrade umeamuliwa......
 
Me is very very as well!
infakti, iteitei lya kite must be a biological error, kama wataalamu wanashindwa kumtambua!
Bigi man! Please spare my ribs!

Biggie is Totally immersed in confusion!

haaaaa jamani unaniua B, plz spare my kidogo left energy fo the day......
Bigirita ameamua kunivunjia mbavu zangu mamushka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…