My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
73,773
Reaction score
102,126
Ifuatayo ni orodha ya walimbwende ambao kwa mtizamo wangu naamini ni warembo bora kabisa hapa nchini Tanzania.

Orodha hii ina mjumuisho wa warembo ambao ni Vipusa waliopita wa Tanzania, Watangazajia, Models na wengineo wengi.

Nitajitahidi kutupia picha na maelezo binafsi ya muhusika japo kwa uchache...
 
1: Nancy Sumari

NANCY-11-660x441.jpg


nancysumari05.jpg
 
Back
Top Bottom