Usiue kabla haujapiga kura. Tunakuhitaji kwenye kampeni mwakani.Kwa hakika nitaua mtu mwaka huu mchana kweupe kabisaaa. Na hakutakuwa na kesi ya aina yoyote ile maana nitakuwa najilinda zidi ya wezi wa ubavu wangu .
🤣🤣🤣Nitaua mtu humu .wewe acha ajifanye anaandika kingereza akafikiri labda sifahamu . Sisi watu wa nyanda za juu kusini hatunaga utani utani .
ephen_ ushagonganisha magari huku.Nitaua mtu humu .wewe acha ajifanye anaandika kingereza akafikiri labda sifahamu . Sisi watu wa nyanda za juu kusini hatunaga utani utani .
ID mbili mtu mmoja, ID ya kujiunga jana anawezaje kujua watu wa humuKaingia cha kike ama?🤣😂🤣😂
Yaani kama wewe natafta nguvu za kukuandikia uzi, ukijichanganya ukamute naenda kwa wazee wa kuvuta mpenzi ndani ya saa24😃😃😂😂
hata wewe malaika unashindwa kumuona kweliWatu mna nyota yani humu hata sura watu hatujuani ila mnagombaniwa kabsa
Me nishavuka huko mkuuYaani kama wewe natafta nguvu za kukuandikia uzi, ukijichanganya ukamute naenda kwa wazee wa kuvuta mpenzi ndani ya saa24
Safari badoMe nishavuka huko mkuu
Mi ni malaika toleo la kwanza sina uwezo huohata wewe malaika unashindwa kumuona kweli
La mamaLucas usitufanye sisi watoto 😹
Anapiga ngoma na kuicheza mwenyewe 😂#lucas💔Unajitekenya halafu unacheka, utakuja kujinyea bure.
SawaSafari bado