Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Uzalendo wa nini? Wakishinda wanapost picha ya Simba, wakifungwa wanasema Watanzania wote tumefungwa.Na uzalendo pia
Hahahaaa!Uzalendo wa nini? Wakishinda wanapost picha ya Simba, wakifungwa wanasema Watanzania wote tumefungwa.
Kila mtu afe na timu yake.
Hata wana SIMBA ni watanzania kwahiyo bado ni mulemuleUzalendo wa nini? Wakishinda wanapost picha ya Simba, wakifungwa wanasema Watanzania wote tumefungwa.
Kila mtu afe na timu yake.
Historia ina nafasi katika ushabiki lakini haina nafasi ndani ya uwanja.
Maandalizi ndio kila kitu.
Hawa wanataka kutuharibia soka. Nimeona hii tweet kwenye page ya Simba.