Tumpe support! Be humbleKwahiyo??
Mimi haya maneno makali ya taaluma ya IT yananitiaga ukakasi! Wewe una maarifa ya "Cyber Security" huko hapa mtaani unatafuta nini? Hack mtandao mmoja uvuruge watambue uwepo wako uone kama utalia njaa! Niliwahi kuajiriwa na taasisi moja ya umma kwenye taaluma hii. Sasa mizengwe ya pale na mambo ya kujipendekeza, kwenye warsha za ndani zenye malipo wakawa hawaniweki! Unajua nilifanya nini? Nikasubiri siku wako katikati ya hiyo warsha nikadisconnect Internet! Waliangaika weee wapi na kulazimisha "break". Mkuu wa hiyo taasisi akaanza kuwafokea staff wa IT (hapo mimi sipo). "unajua tumegharamika kiasi ghani kwa hii warsha??, nataka ndani ya hii break Internet irudi" Jamaa akili zikawajia! Bila huyo jamaa hatutoboi! Wakanitafuta kwa simu na mimi nikarestore net! Kuanzia hapo heshima ikawepo! Sasa hawa vijana wetu wanaokalilishwa na kuja hapa na majigambo ya nini? Fanya kitu! Founder wa iPhone (Steve job) ni college drop out! Billgate (Microsoft) college drop out! Zuckerberg college drop out!Tumpe support! Be humble
Received with Thanks! π€Mimi haya maneno makali ya taaluma ya IT yananitiaga ukakasi! Wewe una maarifa ya "Cyber Security" huko hapa mtaani unatafuta nini? Hack mtandao mmoja uvuruge watambue uwepo wako uone kama utalia njaa! Niliwahi kuajiriwa na taasisi moja ya umma kwenye taaluma hii. Sasa mizengwe ya pale na mambo ya kujipendekeza, kwenye warsha za ndani zenye malipo wakawa hawaniweki! Unajua nilifanya nini? Nikasubiri siku wako katikati ya hiyo warsha nikadisconnect Internet! Waliangaika weee wapi na kulazimisha "break". Mkuu wa hiyo taasisi akaanza kuwafokea staff wa IT (hapo mimi sipo). "unajua tumegharamika kiasi ghani kwa hii warsha??, nataka ndani ya hii break Internet irudi" Jamaa akili zikawajia! Bila huyo jamaa hatutoboi! Wakanitafuta kwa simu na mimi nikarestore net! Kuanzia hapo heshima ikawepo! Sasa hawa vijana wetu wanaokalilishwa na kuja hapa na majigambo ya nini? Fanya kitu! Founder wa iPhone (Steve job) ni college drop out! Billgate (Microsoft) college drop out! Zuckerberg college drop out!
Saafi sana KamandaMimi haya maneno makali ya taaluma ya IT yananitiaga ukakasi! Wewe una maarifa ya "Cyber Security" huko hapa mtaani unatafuta nini? Hack mtandao mmoja uvuruge watambue uwepo wako uone kama utalia njaa! Niliwahi kuajiriwa na taasisi moja ya umma kwenye taaluma hii. Sasa mizengwe ya pale na mambo ya kujipendekeza, kwenye warsha za ndani zenye malipo wakawa hawaniweki! Unajua nilifanya nini? Nikasubiri siku wako katikati ya hiyo warsha nikadisconnect Internet! Waliangaika weee wapi na kulazimisha "break". Mkuu wa hiyo taasisi akaanza kuwafokea staff wa IT (hapo mimi sipo). "unajua tumegharamika kiasi ghani kwa hii warsha??, nataka ndani ya hii break Internet irudi" Jamaa akili zikawajia! Bila huyo jamaa hatutoboi! Wakanitafuta kwa simu na mimi nikarestore net! Kuanzia hapo heshima ikawepo! Sasa hawa vijana wetu wanaokalilishwa na kuja hapa na majigambo ya nini? Fanya kitu! Founder wa iPhone (Steve job) ni college drop out! Billgate (Microsoft) college drop out! Zuckerberg college drop out!
Iga college dropout ufe..!!Mimi haya maneno makali ya taaluma ya IT yananitiaga ukakasi! Wewe una maarifa ya "Cyber Security" huko hapa mtaani unatafuta nini? Hack mtandao mmoja uvuruge watambue uwepo wako uone kama utalia njaa! Niliwahi kuajiriwa na taasisi moja ya umma kwenye taaluma hii. Sasa mizengwe ya pale na mambo ya kujipendekeza, kwenye warsha za ndani zenye malipo wakawa hawaniweki! Unajua nilifanya nini? Nikasubiri siku wako katikati ya hiyo warsha nikadisconnect Internet! Waliangaika weee wapi na kulazimisha "break". Mkuu wa hiyo taasisi akaanza kuwafokea staff wa IT (hapo mimi sipo). "unajua tumegharamika kiasi ghani kwa hii warsha??, nataka ndani ya hii break Internet irudi" Jamaa akili zikawajia! Bila huyo jamaa hatutoboi! Wakanitafuta kwa simu na mimi nikarestore net! Kuanzia hapo heshima ikawepo! Sasa hawa vijana wetu wanaokalilishwa na kuja hapa na majigambo ya nini? Fanya kitu! Founder wa iPhone (Steve job) ni college drop out! Billgate (Microsoft) college drop out! Zuckerberg college drop out!