my new signature......

Kumbe we leave only once??!
Si umeona thread ya Asha D jana? namnukuu 'live your life to fullest' maana yake kwenye starehe yako bana usiruhusu mtu akutilie kiwingu!
 
Asha D hujambo?

Kaizer alikuwa anakutafuta...:biggrin1::biggrin1:

Asprin mi mzima wa afya rafiki... Asante kwa ujumbe but hizo salamu zilifika... hata hivyo siku hio Kaizer hakunipata mpaka ilibidi atinge home...
 
OK!OK! A little bit i get u, am failing to figure out the position of this quote "MARRIAGE IS TO BE ENJOYED AND NOT TO BE TOLERATED!!!!!!!!"
ni vitu gani wewe hata tolerance hai-apply tena manake sikuile ya ahadi mlisema TILL DEATH DO YOU APARTY...ASHA D.
nisaidie kidogo is this quote.....stable, neutral or unstable
 
Kwahiyo wale wasiofurahia ndoa zao wafanyeje?!

Si waachane tu? Au ndio wafuasi wa dini inayoruhusu nyumba ndogo lakini hairuhusu talaka au kuongeza mke. Kama Dakatari wa kanoni Slaa afanyavyo.
 
Partner nimeku MISS you have been quiet saana....

Same here partner....nimeona uko bize sana na Bishanga mwigizaji wa igizo gani lile sijui nikaamua niwaache kwanza mmalizane!!
 
Si waachane tu? Au ndio wafuasi wa dini inayoruhusu nyumba ndogo lakini hairuhusu talaka au kuongeza mke. Kama Dakatari wa kanoni Slaa afanyavyo.

Hayo y Dr yaache kama yalivyo!
Nwy kuachana watu wanakataa kwamba hairuhusiwi mpaka mmoja afe!
 
Same here partner....nimeona uko bize sana na Bishanga mwigizaji wa igizo gani lile sijui nikaamua niwaache kwanza mmalizane!!

Bishanga hanaga matatizo mkisha fika a point wote mnakubali hua anayamaliza.... he is a good man... Kimbembe kipo kwa wengine...lol
 
Bishanga hanaga matatizo mkisha fika a point wote mnakubali hua anayamaliza.... he is a good man... Kimbembe kipo kwa wengine...lol

😛ound:😛ound:😛ound:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…