My partner loves women with big nyash, what should I do?

Bongo aheri ukose akili lakini uwe na Big nyashi
 
Bongo mwanamke mwenye nyashi anaangaliwa kuliko mwenye Phd
 
Msela wako bado hajamaliza ujana,and possible kuna dude anamaliza tamaa zake,maamuzi ni yako ila mawingu ya mvua yametanda muda wwt mvua inanyesha
Wanaume wengi tuna hiyo kawaida, japo unatakiwa kuyapuuzia maana hawaishi

Muhimu kufocus na ule naye

Ukiendekeza unaweza kujikuta umefikia miaka 60 hujajenga hata kibanda Kwa kumaliza hela kwaajili yao
 
That is the problem of the women with small booty/buttocks/butts
They don't believe themselves, they always complain about men's eyes,
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
That is the problem of the women with small booty/buttocks/butts
They don't believe themselves, they always complain about men's eyes,
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Kwahiyo anidharau na mimi nikae kimya tu au siyo
 
Ni Mtihani kweli Mjukuu ๐Ÿค—

Kwa umri huu hatuna nguvu za kuyapelekea moto lakini kula Kwa macho tunaweza ๐Ÿ˜œ
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ila babu wewe ujana wako inaonekana umesumbua sana
 
Pole kwa kunyimwa sawadi ya kudumu.
Hiyo ni laana zama hizi kafanye tambiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ