My partner loves women with big nyash, what should I do?

Usijaki hap anawatumia tu kwa starehe ya kimwi

Usijali hao anawatamani tu kwa starehe ya kimwili. Ndio maana akakupenda wewe. Msaprise kwa kuvaa kigodoro
 
Wakiongeza vibaya je?
Duniani, kila kitu tunabeti..!! Unaondoka asubuhi kwenda kazini/kibaruani huku huna uhakika wa kurudi, lakini unaenda, etc. The same to this, peleka tako hilo likaumuliwe, ili bwanaako asigeukegeuke mnapopita barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…