My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

Nimeiona
Yaani sikuchanganya the whole day baada ya kumaliza kuangalia hii movie
Kwanza niliingia Google kuangalia km based on true story au laa
Katika movie sitaweza kurudia kuiangalia ni hio the boy in Stripped pajamas
Bruno
 
Attachments

  • Screenshot_20241018_220409_Netflix.jpg
    217.4 KB · Views: 2
Hiyo hiyo,Kuna moja inaitwa children of lesser God,nayo ya watoto wagonjwa
Mkuu mambo vp?
Juzi nimetoka kucheki children of the church steps
Ni series lkn ina episodes 4 tu. Inahusu tukio la kweli lilotokea 1993 Brazil,wtt 8 wanapigwa risasi
 
Nimeiona
Yaani sikuchanganya the whole day baada ya kumaliza kuangalia hii movie
Kwanza niliingia Google kuangalia km based on true story au laa
Katika movie sitaweza kurudia kuiangalia ni hio the boy in Stripped pajamas
Bruno
Hio sio true story lakini yale matukio ya kuuliwa watu kwa gas za sumu, kuwekwa camp ndio yalikuwa ya kweli so mtunga story aliingiza hadithi ya kweli na kutunga lakini alifanya kitu ambacho ki ngeweza kutokea au possible, ilipata kuwa movie bora ya mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…