REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hii nimekuja kuipigilia msumari wa mwisho hivi karibuni
Watanzania mtembee kifua mbele kabisa kwa kipindi nilichokaa Kenya nimejionea mwenyewe kwamba kila mbongo fleva ni famous Kenya and is likely to be a star more than being in Tanzania,
Kuna wasanii wengine kwangu nawaona hata hawajielewi and somehow wanaforce fani kibabe lakini cha kushangaza Kenya wao kule ni miungu
Nandy kwa sasa huko Kenya anaiendesha nchi kama gari bovu ni madam King wakenya wanaruka na kukanyagana kama migambo
Dah hongera mama kweli umewashika nyang'auz hawafurukuti