[emoji173][emoji173][emoji173]Nchi hii ilianza viz
View attachment 2863514
Nchi hii ilianza vizuri tu na kuendelea kukua kwa miaka 15. Baada ya hapo ni laana tu inatawaliwa kupitia taasisi za kifisadi na mafisadi.....Tumetoka mbali sana!.
Mandhari nzuri sana. Muhimu sana kupanda miti.