Katika Greek myths medusa alizawadiwa hizo nywele za nyoka na macho ya kukugeuza jiwe mnapoyakutanisha kwa sababu ya uzuri wake na Hera a wife of Zeus alipata wivu akaamua kumkomesha huyo gorgon
Unayo link yake? [emoji1545]Katika Greek myths medusa alizawadiwa hizo nywele za nyoka na macho ya kukugeuza jiwe mnapoyakutanisha kwa sababu ya uzuri wake na Hera a wife of Zeus alipata wivu akaamua kumkomesha huyo gorgon