My Prediction: Iran's Islamic Republic ikifanikiwa kuwa Nuclear Power House, Next Stop will be Mecca

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
As they say, "Power dreams of more Power"

Ayatollah na Islamic regime yake ikifanikiwa kumpiga Israel sio tuu kwamba itaji-establish kama moja kati ya nchi za kuogopeka Middle East na duniani, bali itakuwa ni nchi yenye ushawishi mkubwa and the Shiah Islamic regime will be unstoppable.

Next stop after Israel will be Mecca, kwa hutuba chache(za zamani) nilizosilikiza za Ayatollah haipingiki kwamba huyu jamaa anapatamani, na hakuna njia nyingine efficient ya ku-establish Shiah Islamic rule in the Middle east zaidi ya ku-control the biggest and most popular holy site, Mecca.

Crown prince mwenyew alisema, Kama Iran itafanikiwa kuwa Nuclear power House watawa push Marekani iwasaidie na wao nuclear, kwann? Kwan Saudi ina ugomvi mkubwa sana na Iran hadi itishike Iran kumiliki nuclear?

I think that's their driving ambition.

1000398355.jpg
 
Kama wao wanaona maisha duniani ni bora sana kuliko yajayo na wafutike tuu wamelewa mambo ya kidunia lile ni eneo takatifu hata wakitolewa pale si dhamana yao lile ni eneo la waislam wote dunian wasaudi ni wanafiki sana Uislam hauna sunni wala shia ni mbwembwe tu wanafanya hao wasaudi na ni verry arrogant kama mazayuni tu
 
As they say, "Power dreams of more Power"

Ayatollah na Islamic regime yake ikifanikiwa kumpiga Israel sio tuu kwamba itaji-establish kama moja kati ya nchi za kuogopeka Middle East na duniani, bali itakuwa ni nchi yenye ushawishi mkubwa and the Shiah Islamic regime will be unstoppable.

Next stop after Israel will be Mecca, kwa hutuba chache(za zamani) nilizosilikiza za Ayatollah haipingiki kwamba huyu jamaa anapatamani, na hakuna njia nyingine efficient ya ku-establish Shiah Islamic rule in the Middle east zaidi ya ku-control the biggest and most popular holy site, Mecca.

Crown prince mwenyew alisema, Kama Iran itafanikiwa kuwa Nuclear power House watawa push Marekani iwasaidie na wao nuclear, kwann? Kwan Saudi ina ugomvi mkubwa sana na Iran hadi itishike Iran kumiliki nuclear?

I think that's their driving ambition.
Ira
View attachment 3143168
Iran ni nchi yenye nidham ya hali ya juu sana tofauti na mnavyosema
 
Makkah inalindwa na Mungu na pia kwa dua la Nabii Ibrahim aliposema

View: https://youtube.com/shorts/Ni6i68-50Rs?si=2sZqYn3Myn9oAJof
 
Wenzao Iran inakomaa na elimu na kufika mbali kwenye tafiti na kujikomboa wenyewe kwa upande wa viongozi wa Saudia tofauti.

Wao kama mabwenyenye! Kila kitu wanataka wafanyiwe!

Nchi ilindwe kijeshi na USA, familia yao ilimdwe kijeshi na USA. Wanataka watengenezewe silaha za nuclear na USA. Kisha wapatiwe silaha za nuclear na USA.

Viongozi wa Saudia wana akili za mzaha sana!
 
Makkah inalindwa na Mungu na pia kwa dua la Nabii Ibrahim aliposema

In 1979 this guy (Juhayman) led a group of men and occupied the grand mosque in Mecca. It took two weeks of fighting and hundreds of causalities on both sides​

xr1tsdy9ttda1.jpg

Juhayman kama kuna "Dua" mbona Allah asizuie uvamizi huo wa mwaka 1979. Na Damu nyingi kumwagika?!

Uongo wenu unaenda kufika mwisho.
_110230469_seige_getty976.jpg

👆Msikiti wa Makka ukifuka moshi wa Silaha mbalimbali baina ya Wafuasi wa Juhayman na Vyombo vya Usalama.
johayman.jpg

Juhayman Al Otaybi baada ya kushikwa.

attackers.jpg

240px-Officers_Juhayman_al-Otaibi-1.jpg

Wanajeshi wa Juhayman 👆wengi wao wamefia hapo Makka Msikitini.
 
Kwahii Mindset ndio maana kuna baadhi ya Watu wanazuiwa kuwa na silaha za Kiatomiki.
Tulia wewe nyie mnajifanya wapole ndio maana west wanaichezea dini yenu wanavyotaka, nyie ni laini laini mnajifanya wakristo kwa taarifa yenu YESU hakuwa kama nyinyi alikua amenyooka na msimamo mkali kama unavyoona Uislam wa sasa ulivyo, aliingia kanisani Kakuta watu wanauza uza upuuzi wao Kamwaga na akafukuza wote leo Hii kanisani ndio sehemu ya kuuziana maparachichi kwa bei elekezi
 
Kuna Mtu mahala kawadanganya sana.
 
Tatizo lako wewe unafikiria Makkah haiwezi kuvamiwa hata ikivamiwa hakuna kitakacho dhuru sababu ni Mungu ndio anapalinda. Haya hao walio vamia walifanya madhara gani.
😆😆😆 swali langu ...kama Allah anapalinda mbona Juhayman alipavamia na kukaa Wiki mbili na ushee mbona Allah asimzuie Juhayman?!

Uongo wako umefika ukingoni😆
 
Makkah inalindwa na Mungu na pia kwa dua la Nabii Ibrahim aliposema

View: https://youtube.com/shorts/Ni6i68-50Rs?si=2sZqYn3Myn9oAJof

Mecca panalindwa na mungu! Usinichekeshe😅😅 Kaaba yenyew hailindwi na mungu, ile eneo la kaaba kila mara inapatwa na heavy storm and Insect invasion(mende), huyo mungu yuko wapi?

In 1941 Ka'aba was disrupted for many days because of floods.
1000398482.jpg

In 1958 a huge fire engulfed ka'aba and pilgrimage was suspended.

In 1979 Kaaba was taken over by terrorists and French troops liberated it eventually.

Due to heavy winds in Makkah, the Kiswa of the Ka’bah was been blown out of its place, uncovering the mediocre brickwork.
1000398484.jpg

Kaaba, supposedly eneo takatifu linalolindwa na mungu likipigwa na heavy storm 👇👇👇

Adiosamigo don't make me laugh
 
Tatizo lako wewe unafikiria Makkah haiwezi kuvamiwa hata ikivamiwa hakuna kitakacho dhuru sababu ni Mungu ndio anapalinda. Haya hao walio vamia walifanya madhara gani.
Mzee huoni hizo sababu unazotoa ni za kipumbavu, eti "wanaweza kuvamia ila hawatafanya chochote" huyo mungu gani anaruhusu eneo lake takatifu livamiwe na makafiri na kutekwa na makafiri?
 
Ni kweli kabisa Iran ikiwa super power hapo middle east basi, kituo keep nachofata ni macca,

Kwa msimamo wao wanataka macca iwe sehemu huru na isimilikiwe na saudia kama Sasa, yaani mapato yote yanayopatikana yatumike kwenye kuendeleza na kuhudumia dini na siyo kama Sasa ambayo mapato yanaenda saudia

Kwa hiyo chuki KUU ya saudia dhidi ya Iran ni hofu ya kuchukuliwa sehemu ya nchi yake kwa mgongo wa dini
 
Mzee huoni hizo sababu unazotoa ni za kipumbavu, eti "wanaweza kuvamia ila hawatafanya chochote" huyo mungu gani anaruhusu eneo lake takatifu livamiwe na makafiri na kutekwa na makafiri?
Lini Makkah ilitekwa na makafiri, wanaenda baadhi wa wajinga na tu bunduki tu, tena wanajidai wanaenda kusalli. Wanafanya matatizo kidogo wananaswa. Huyo anaye sema Makkah ilikombolewa nawafaransa nilimuacha na ujinga wake. Makkah ilikuwa hata mkristo haruhusiwi kuingia waingie wafaransa. Vipi taifa lenu halitandikwi si bibilia zenu zinasema mungu wakikristo analilinda 😄
 
Mecca panalindwa na mungu! Usinichekeshe😅😅 Kaaba yenyew hailindwi na mungu, ile eneo la kaaba kila mara inapatwa na heavy storm and Insect invasion(mende), huyo mungu yuko wapi?

In 1941 Ka'aba was disrupted for many days because of floods.
View attachment 3143355

In 1958 a huge fire engulfed ka'aba and pilgrimage was suspended.

In 1979 Kaaba was taken over by terrorists and French troops liberated it eventually.

Due to heavy winds in Makkah, the Kiswa of the Ka’bah was been blown out of its place, uncovering the mediocre brickwork.
View attachment 3143356

Kaaba, supposedly eneo takatifu linalolindwa na mungu likipigwa na heavy storm 👇👇👇

View attachment 3143366

Adiosamigo don't make me laugh
We tule tu accident twa hapa na pale tukitokea ndio unataka Mungu azuie, kuna vitu vingine Mungu anaruhusu vitokee ili kupima imani za waislam. Je Makkah iliwahi kuwaka moto ikaungua au mvua ikabeba Kaaba au Black stone.

Nyie taifa teule lenu mvua zinabeba kila kitu na linawaka moto linatandikwa Missiles je uliona kuna mtu kagusa Makkah kwa Missiles. Mwambie adui ajaribu arushe Missiles one.
 
Lini Makkah ilitekwa na makafiri, wanaenda baadhi wa wajinga na tu bunduki tu, tena wanajidai wanaenda kusalli. Wanafanya matatizo kidogo wananaswa. Huyo anaye sema Makkah ilikombolewa nawafaransa nilimuacha na ujinga wake. Makkah ilikuwa hata mkristo haruhusiwi kuingia waingie wafaransa. Vipi taifa lenu halitandikwi si bibilia zenu zinasema mungu wakikristo analilinda 😄
Kila nikionaga comment yako nawazaga huyu jamaa hivi ana elimu kweli?? Au anajitoa akili?
Sawa 1979 hukuwepo lakini huwez hata kutumia mtandao ukafatilia, eti nimemwacha na ujinga wake, the guy was speaking historical facts we unabaki unakanusha tuu na kujichekesha bila hoja yoyote.

Kwa taaifa yako, vikosi vya Saudi pamoja na french special forces walitumia wiki mbili kumuondoa Juhayman na kikosi chake.

IGNORANT!
 
Back
Top Bottom