it's good luck to rub a dwarf's headS5 tyrion baada ya kutorokea Volantiss na Varys wakaenda kwenye danguro..Mlinzi wa dabguro akamshika kichwa afu akasem "Its good to rub dwarf's head"
Tyrion akajibu "It's good to rub Dwarf's cock too"
Mwenyewe anajiita good of titts and wines
He deserved his painful deathWatu wanasema kwamba morning groly haishindi utamu kifo cha huyu dogo.
The purple wedding
View attachment 1622185
Nahisi kama ushawihi niuliza hili swali kwenye uzi mwingine wa GOT. Ramsay for the win. Labda kwa sababu pia Jofrey ameanza ukatili wake na kufwariki katika kipindi kifupi tofauti na Ramsay ambao tumemuona episode nyingiDaah huyu dogo na Ramsey unaona nani alikua katili zaidi?
View attachment 1622204
Hapa Ramsey alikua anakula sausage baada ya kumkata dudu Theon.
Eti What? No no no it's pork sausage, I'm not sort of sava
View attachment 1622205
Usijalisorry mkuu🙁🙁
Daah huyu dogo na Ramsey unaona nani alikua katili zaidi?
View attachment 1622204
Hapa Ramsey alikua anakula sausage baada ya kumkata dudu Theon.
Eti What? No no no it's pork sausage, I'm not sort of sava
View attachment 1622205
GOT haichoshi kuangalia,Aise imebidi niianze mwanzo tena.. bila shaka nitakua ninamatatizo
SO7 Ep 1
Hamna yani mimi kila nikiangalia naona kama kuna sehemu nilikua sikuelewa vizuri. Ndio maana napataga uwezo wa a kuingalia kama vile sijawahi kuiona. Ila siku ukielewa matukio yote vizuri hutaweza kuwa na mood ya kuirudia rudiaAise imebidi niianze mwanzo tena.. bila shaka nitakua ninamatatizo
Hii series ilikuwa my favorite son series kama hii.
Kuna wakati unaweza kusoma kitu ukabaki unajiuliza mambo mengi sana juu ya mwandishi wa kitu hicho. Aliwaza nini,alipata wapi hii stori,ana akili yenye uwezo gani hadi kuandika kitu hiki. Basi ndio maswali mengi ambayo hua najiuliza juu ya huyu George Raymond Martin kutokana na uandishi wake wa collection ya vitabu vya A song of Ice and Fire almaarufu kama Game of thrones.
Huyu mzee alijitahidi na tunaweza kumwita moja kati ya wanadamu walioweza kutumia akili zao vizuri katika kufikiria vitu extraordinary. Lakini pia kuna genius mwingine anaitwa J.R.R. Tolkien, huyu jamaa ni hatari sana katika uandishi wa High Fantasy kwakweli nashindwa kuelewa kati yake na George nani
Mimi zipo nyingi nazipenda na zote zipo kwenye simu..Hii series ilikuwa my favorite son series kama hii.
Pia ile ngoma ya before the battle with the night king/walkers. ile ya never wanted to live. Ile niliipenda sana
Huyu jamaa I wish angekuwa King lakini ndiyo hivyo. ILa japo watu wanalalamika, mimi nilipenda ilivyoisha maana ni vizuri vitu viende tofauti na ulivyokuwa unafikiri wewe, na hilo ndilo lilinifanya niipende GOTHappy 34 Birthday Kit Harington..Jon Snow
View attachment 1662409
Moja ya kitu GOT waliweza ni kutufanya tusiweze kutabiri nini kitatokea..Huyu jamaa I wish angekuwa King lakini ndiyo hivyo. ILa japo watu wanalalamika, mimi nilipenda ilivyoisha maana ni vizuri vitu viende tofauti na ulivyokuwa unafikiri wewe, na hilo ndilo lilinifanya niipende GOT
Mimi John snow, Tyrion Lannister, Arya, Cersie, ni mother of the dragons na yule demu alikuwa msaidizi wa mother of the dragons, ila nakubali wengi hata night walker namkubali, hata JofreyMoja ya kitu GOT waliweza ni kutufanya tusiweze kutabiri nini kitatokea..
Ila kati ya Character aliyenivutia zaidi hadi natamani kuishi kama alivyoishi ni huyu jamaa. Alikua muaminifu sana na haongei uongo.. Wapili ni ni Character ya Captain America...Ana roho nzuri sana Cap kama Jon snow.
Missandei..ulipenda uzuri wakeMimi John snow, Tyrion Lannister, Arya, Cersie, ni mother of the dragons na yule demu alikuwa msaidizi wa mother of the dragons, ila nakubali wengi hata night walker namkubali, hata Jofrey
Nilimchukia pia ila alicheza vizuri character yakeMissandei..ulipenda uzuri wake
Mm napenda tu maongezi ya Tyrion na Baba ake.. BTW Dialogues ya GOT imesimamia kucha asee..
Jofrey nilimchukia kwakweli na Ramsay
View attachment 1662419