My Room mate

My Room mate

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
My room mate
IMG-20180509-WA0078.jpg
 
hahahaaha hatari sana kijana wetu safi sana ni sha laza majamaa zangu nje, baada ya kupiga mzigo na kulala nusu kifo
 
Huyu hajakutana na vichaa, kuna jamaa alikuja na dem wake chuo alimuomba mshikaji ampishe tulikuwa tunaita kupiga exile, mwenzake alikataa. Kilichofuata gemu lilianza kitanda cha chini wakati mshikaji kajikausha deka la juu mbona aliondoka mwenyewe, miguno ya demu ilimuondoa bila kupenda
 
Jamaa si angefanya kama anachek porno tu
 
Back
Top Bottom