My sad story, Let's share with all of u

pole sana kaka,

cha kumshukuru mungu ni kwamba ulimkamata mwenyewe, with full evidence. Hapo asingeweza kukubishia kwa namna yeyote ile.

pili pia pole sana kwani ulilengwa na misiba miwili kwa wakati mmoja, huo ni moyo wa ujasiri sana na unastahili pongezi.
 

...piole sana, piga moyo konde na muombe sana Mw'Mungu akuepushie zito kuliko hilo.
Kuna waliokuta mzazi mwenziwe anatembea na nduguye.
Kuna waliokuta bintiye akitembea na baba yake
nk nk...kila mtu na mtihani wake, inasikitisha sana.
 
Pole ndo maisha, wengine wanakula hata na baba mkwe, huyo mwisho wa siku angetembea na baba yako ndo ungetii adabu.
 
Duh! pole sana tena sana kaka,binadamu sijui wakoje yani vp unamchukua msichana au mke wa ndugu yako ivi wanakua hawajui kuchagua au wanapenda vyawenzao au ni tabia yakishenzi tuu,
 
mmh! pole bt hongera pia bro kwa kuamua kumforget kbs coz wapo ambao hua wanafanya mistake ya kuwabembeleza il warudiane!umefanya vzr sn...kila la kher
 
Hongera kwa kuzimudu hizi changamoto na hatimaye kutoka ukiwa imara zaidi..]
Nimesema hongera kwa kuwa siyo wote wanaobahatika kuwa na moyo Jasiri kama wewe..
Wengine wakikumbwa na mikasa kama hii huishia kufanya mambo ambayo mwishowe huja kuyajutia maisha yao yote..
Pole kwa maswaibu Bandugu...
 
Duu, pole Mkuu ndo maana 20% aliimba......."...anagawa kwa kila mtu..."

 
Pole sana. Mshukuru sana Mungu amekuonyesha true colour za huyo bidada mapema. Likuepukalo una heri nalo.
 
Mbu thanx much!
 
First born thanx much!
 
Duh! pole sana tena sana kaka,binadamu sijui wakoje yani vp unamchukua msichana au mke wa ndugu yako ivi wanakua hawajui kuchagua au wanapenda vyawenzao au ni tabia yakishenzi tuu,
Maisha yalivyo!Unatakiwa ukubali changamoto!
 
mmh! pole bt hongera pia bro kwa kuamua kumforget kbs coz wapo ambao hua wanafanya mistake ya kuwabembeleza il warudiane!umefanya vzr sn...kila la kher
Pamoja sana,msimamo na kutokuogopa ndio msingi wa maisha!
 

Duh! Pole sana E...inatia moyo kuona kwamba umeweza kuendelea na maisha yako baada ya kuumizwa kiasi hicho na watu wawili muhimu kwenye maisha yako. Shukuru Mungu kwamba aliamua kukuonyesha kabla hujaoa, vinginevyo kaka angeendelea kukumegea hata baada ya harusi.
 
Mungu mkubwa na ni mwenye nguvu,Glory to God Babu!
 
Asante kwa kushea nasi uzoefu wako................hongera kwa ujasiri na Mungu akubariki na azidi kukutia nguvu.
 
Aisee pole sana, pia tunashukuru kwa kushare hii story!
Nina imani itawasaidia wengi, hasa wanaotaka kuchukua maamuzi ya kujitoa uhai pindi yawafikapo kama yako!

What is ur situation now? I mean love life, umewakatia tamaa viumbe wa kike au umepata mwingine bora sana! Pls share na hiyo part pia ili uendelee kuokoa mioyo iliyokata tamaa ya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…