My sad story, Let's share with all of u

Asante kwa kushea nasi uzoefu wako................hongera kwa ujasiri na Mungu akubariki na azidi kukutia nguvu.
Asante,nawatakia ujasiri wengine pia!
 
Asante,nawatakia ujasiri wengine pia!

Umefanya vyema sana kulieleza na imekusaidia kutoa kitu ambacho ulikiweka moyoni mwako kwa muda mrefu sana na utapata pumziko la moyo sana kukitoa hivi
 
Kaunga,kuhusu maisha ya kimapenzi,kwa sasa sina girlfriend,lakini sio kwamba sina kutokana na yaliyonikua la hasha,sina coz sijapata wa kunifaa!
 
Pole sana,

Kuishi kwingi ni kuona mengi...Wale ambao mimba zilichomolewa au hawakupa bahati ya kutoka nje ya kuta za labour room hawakuyaona haya.

Mshukuru Mungu wako kwa kila jambo!
 
Umefanya vyema sana kulieleza na imekusaidia kutoa kitu ambacho ulikiweka moyoni mwako kwa muda mrefu sana na utapata pumziko la moyo sana kukitoa hivi
I hope so.!...
 
I hope so.!...

La muhimu just move on with your life now and never think about such incidence again.
fanya kama ni tukio lililopita ambaloo liliyakuta maisha yako na limepita
 
Kaunga,kuhusu maisha ya kimapenzi,kwa sasa sina girlfriend,lakini sio kwamba sina kutokana na yaliyonikua la hasha,sina coz sijapata wa kunifaa!
God willingly utampata! Goodluck!
 
Dark City,ndo maana nimeliweka hapa hili jambo ili kila mmoja ajionee na ajifunze kwa wakati wake na wale walio kwenye kadhia hii niweze kuwatia moyo kuwa inawezekana kurudia hali ya kawaida na ukafurahia maisha pia!
 
La muhimu just move on with your life now and never think about such incidence again.fanya kama ni tukio lililopita ambaloo liliyakuta maisha yako na limepita
I knw,an that what i'm doing 4 two years an half!
 
Eiyer my brother your story is so heart breaking...

Pole kwa kumpoteza baba... Mwenyezi Mungu ailaze roho yake pema peponi...
Pole kwa kashi zote ulizopita... imenigusa saana na nashukuru umeshea...
Kikubwa ni kujifunza tokana na experience na usikate tamaa ya kumpata (kama bado)
mwanamke mwingine atakae kupenda kwa dhati... Hongera mpaka ulipofika maana
mpaka umeweza itoa ina maana at least you have moved on....

Pamoja saaana
AshaDii..
 
pole sana mkuu na thanx sana kwa kushare , Mungu azidi kukubariki na kukufanikisha, I have a friend ambaye aligundua girfriend wake alikuwa anatembea na baba yake mzazi, ilikuwa shocking na ilimuumiza sana, so i can imagine maumivu uliyoyapitia
 
Dada uckonde,nimepokea pole zako na nimefarijika sana,kwa sasa nipo peke yangu ila nitakapopata nitakuwa mwangalifu sana,yaliyopita yamepita kwa sasa naangalia mambo mengine!THANX MUCH MA LOVELY SISTER!
 
pole sana mkuu na thanx sana kwa kushare , Mungu azidi kukubariki na kukufanikisha, I have a friend ambaye aligundua girfriend wake alikuwa anatembea na baba yake mzazi, ilikuwa shocking na ilimuumiza sana, so i can imagine maumivu uliyoyapitia
Thanx much!May God be with us!
 
wewe ni mwanamke au mwanaume? Maana unadai "alikuwa hajaoa" ulikuta kaka ako anavaa bukta, inaonesha wewd ni mwanamke na hao walikuwa na uhusiano wa kishoga, ebu niweke sawa.
 
Kweli hujafa hujaumbika! Pole sana kaka na hongera kwa moyo wa ujasiri. Kitu kizuri ni kwamba now u have moved on, this is a good lesson kwa wote wanaokata tamaa mapema na wengine hata kutaka kujiua. Thanks for sharing dear, God bless u!
 
Thanx Kipipi,natumai wamejifunza na tumejifuza wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…