My sad story, Let's share with all of u

Pole sana,
wengine ujifunza kupitia makosa ya wengine,
lakini tulio wengi tunajifunza kupitia makosa yetu...
Mungu anakupenda sana kukutenga na mwanamke ambaye,
angekusumbua sana kama mngekuwa mmeoana naye.
Pole sana japo haupo naye tena kwenye maisha yako ya sasa.
 
Thanx nnunu!God bless u!
 
pole sana rafiki Mungu akusaidie ila nakuahidi huyo mpenzi wako ipo siku atarudi kuomba msamaha na atakuwa katika hali mbaya hutaamini jasho la mtu haliliwi na anaweza fikiri amefaulu sana lakini malipo atayapata hapa hapa, jamani mtu kama humpendi mwambie wazi sio kumfanyia mtu vitendo vibaya kama hivi,
 
Pole sana kweli maisha ni kujifunza endelea kumweka mungu ktk maisha yako mtumaini kwa kila jambo utashinda
 
Mamzalendo asante!Ubarikiwe!
 
Pole sana kweli maisha ni kujifunza endelea kumweka mungu ktk maisha yako mtumaini kwa kila jambo utashinda
Yes Mungu ni kila kitu,bila yeye nisingekuwa nilivyo leo!
 
Pole sana unaweza kuona umepitia magumu na kukata taama ya maisha lakini unaposikia story kama hii unaona wewe unaafadhali....Mungu wetu ni mwema ameweza kukuondolea maumivu yote na kukupa maisha mapya..........hakuna kukata tamaa katika maisha ni kupambana......... nakupongeza sana kwa uvumilivu na moyo wa msamaha kwa kaka yako wengine wanafikia hata kuuana
 
Oooh eiyer.....,! Pole sana jamani. Ni sehemu ya maisha, inawezeka bila hizo changamoto usingekuwa hapo ulipo sasa. Ahsante kwa kushare nasi.
 
Pole sana mpwa., hayo ndo mabonde yenyewe katika safar ya maisha..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…