Kwa hiyo mwanamke anamnunulia nini mpenzi wake? Au yeye zawadi yake ni uchi tu?
If she gifts you, gift her
Vijana mjitafakari sana haya maisha na future zenu. Hao malaya hawana faida zozote kwenye maisha
Kamnunulie zawadi mama yako au baba yako au wadogo zako, mwanamke malaya ana simps kibao wa kumhudumia
Msijipe umuhimu kwenye majukumu yasiyowahusu. Ni jukumu la baba kumhudumia binti yake ambaye hajaolewa ikiwa ni pamoja na kumnunulia zawadi za christmas