My spiritual opinion: Tupac Shakur alikufa baada ya kumezwa na “kivuli” cha mauti cha Biggie Smalls

Status
Not open for further replies.
Dham Dhambi ya uzinzi NI mbaya kuliko tunavyo weza kufikiri. NI dhambi ya mauti. NI dhambi ambayo mtu anaifanya dhidi ya mwili na nafsi yake mwenyewe. Tumwombe Mungu atuepushe na dhambi hii.
 
Hivi yule mshkaji mwingine wa tupac, iddy amini na yeye alliuwawa kama ghadaffi?
 
Wewe utahamia lini Saudi?
 
Soma vizuri mkuu nimeeleza Pac
Maelezo mazuri ila hakuna connections na Biggie small
Alibeba kivuli cha mauti cha Biggie kupitia tendo la zinaa alilo fanya na Faith Evans
 
Soma vizuri mkuu nimeeleza Pac
Alibeba kivuli cha mauti cha Biggie kupitia tendo la zinaa alilo fanya na Faith Evans
Mfalme Daudi alizini mke URIA na akamuua mumewe and yet hakufa kwa hiyo dhambi.
Wangapi wanatembea na wake za watu na hawafi??
tafuta facts sio mitazamo yako
 
Mfalme Daudi alizini mke URIA na akamuua mumewe and yet hakufa kwa hiyo dhambi.
Wangapi wanatembea na wake za watu na hawafi??
tafuta facts sio mitazamo yako
Be warned
 
Sasa brother inakuaje mfalme Suleiman ali ishi wakati alikuwa kitombi? Je wanao nunua malaya aiwahusu? He kipi mtu afanye aepuke roho ya mauti?
 
Sasa brother inakuaje mfalme Suleiman ali ishi wakati alikuwa kitombi? Je wanao nunua malaya aiwahusu? He kipi mtu afanye aepuke roho ya mauti?
Mfalme Suleiman alioa wanawake bikira. Akuchukua wake za watu mkuu. Kununua malaya ni kujipaka nuksi, balaa na mikosi. Its just a matter of time
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…