My spiritual opinion: Tupac Shakur alikufa baada ya kumezwa na “kivuli” cha mauti cha Biggie Smalls

Status
Not open for further replies.
Isitoshe Pac alitembea na Faith baada kubreak na BIG!
Mfalme Daudi alizini mke URIA na akamuua mumewe and yet hakufa kwa hiyo dhambi.
Wangapi wanatembea na wake za watu na hawafi??
tafuta facts sio mitazamo yako
 
Isitoshe Pac alitembea na Faith baada kubreak na BIG!
She was her enstranged wife. They were still married. Walikuwa wametengana tu. So spiritually she was still Biggie's wife
 
Kuna gangster mmoja wa compton anaitwa ‘keefe D’ huyu jamaa ni uncle wake na orlando kwa sasa anakubali kuwa wao ndiyo walio waliompiga risasi 2pac usiku ule, ila anakataa kata kata kumtaja mfadhili wao
 
Kuna gangster mmoja wa compton anaitwa ‘keefe D’ huyu jamaa ni uncle wake na orlando kwa sasa anakubali kuwa wao ndiyo walio waliompiga risasi 2pac usiku ule, ila anakataa kata kata kumtaja mfadhili wao
Keffe D na Orlando.wote walikuwa contract killers.
 
Wacha niwaweke sawa nimegundua kitu watu wakikupenda sanaaa siku ukifa watu huwa hawaamini licha ya kujua ni kweli umekufa........nafikiri ili swala ndio limetokea kwa huyu jamaa TUPAC SHAKUR ......ukweli ni kwamba tupac hayupo tena kwa dunia hiii ........tupac alipendwa sanaa hadi kiwango cha watu kutoamini kifo chake mpaka leo hii
 
Kuhusu kumgonga FEW hiyo ilikuwa ni kick tu kumbuka 2PAC na Notorious PIG bifu lao lilianzia siku 2PAC alipovamiwa kwenye lift ya ghorofani alipokuwa anaenda studio kurekodi na BIG,akahisi ni watu wa BIG na bad boy rekodi.
Ndo maana baadhi ya wachungaji wanagonga watoto warembo ili kukwepa hizo roho za mauti?nimewaza in 3D tu kama uzi wenyewe ulivyo
 
You're very smart....Kwanini usitumie muda wako kuandika miradi ukasaidia familia yako
 
Unamaanisha nn mkuu kwamba taharifa zilipindishwa au?
September 7 Tupac anashambuliwa!
September 8 SUGE KNIGHT anatoka Hospital!
Anagoma kuongea mpk September 11!
Anaulizwa km anaweza kusema kitu kuhusu kushambuliwa Tupac anajibu! I heard something, but saw nothing!"
 
Ndiyo Mkuu! Baada ya Tupac kushambuliwa na kulazwa hospital, Wafanyakazi wa DEATH ROW RECORDS walitoa taarifa POLICE kuwa "wanapokea simu za vitisho" kutoka kwa wasiojulikana!

Police walijibu kuwa wana upungufu wa askari! Kwa hofu hii, members wa OUTLAWS wakaamua kwenda kuweka ulinzi Ward alipolazwa Pac na hated BIG alipojaribu kwenda kumuona Pac, aliishia kwa hawa Wahuni na kufukuzwa!
Unamaanisha nn mkuu kwamba taharifa zilipindishwa au?
 
Mkuu kwa hiyo ukitembea na mke wa mkurugenzi au tajiri means utabeba bahati za utajiri kuwa mkurugenzi sehemu au ina apply kwa kufukara tu kwamba ukitomba mke wa furaha utakuwa fukara?
 
Mkuu kwa hiyo ukitembea na mke wa mkurugenzi au tajiri means utabeba bahati za utajiri kuwa mkurugenzi sehemu au ina apply kwa kufukara tu kwamba ukitomba mke wa furaha utakuwa fukara?
Utabeba mauti yake. Atatuma watu kukupiga risasi. So utakuwa Mwisho wako.

Au kama ana maradhi kama ukimwi utabeba maradhi yake
Don't get it twisted mkuu
 
Mkuu, umefanya uchambuzi wa kina sana big up. Tunahitaji uchambuzi zaidi toka kwako.
 
Watu navipaji vyenu, yaani mtu anaweza kusoma uzi wote huo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…