Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari mkuuUzi tayari?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya kumekucha.Nawapa updates:
Updated ya Kwanza ni kwamba Tz Safar ni kama vita(full purukushani). Kwny gari kuna abiria wazungu kama 6 hivi wote ni KE.Gari ina mende na speed ni shida Mungu tu ndo yupo na atasimama nasi.Maajabu ni gari inayoenda mbele inaitwa gracious ilivotupita na speed zake aisee.
Itaendelea
Safari njema ukirudi Arusha karibu Engaruka.Haya kumekucha.Nawapa updates:
Updated ya Kwanza ni kwamba Tz Safar ni kama vita(full purukushani). Kwny gari kuna abiria wazungu kama 6 hivi wote ni KE.Gari ina mende na speed ni shida Mungu tu ndo yupo na atasimama nasi.Maajabu ni gari inayoenda mbele inaitwa gracious ilivotupita na speed zake aisee.
Itaendelea
Asante sn mkuuSafari njema ukirudi Arusha karibu Engaruka.
Auntie ameamua kutuletea na yeye story[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimecheka, tamuu ndio nini hiki unatufanyia lakini!!!
Endelea basi tupo tunaofatilia umefika wapi sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie ameamua kutuletea na yeye story
Zuriel[emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo