My tour these two weeks.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Kwanza nimetoka Namtumbo nipo Arusha.Kesho naingia Shinyanga, keshokutwa narudi Singida kidogo then Arusha tena mpaka Jumapili.Juma tatu Mbeya.Baada ya siku kadhaa kule napotelea Mashariki ya mbali.
Asanteni


Uzi tayari.
 
Haya kumekucha.Nawapa updates:
Updated ya Kwanza ni kwamba Tz Safar ni kama vita(full purukushani). Kwny gari kuna abiria wazungu kama 6 hivi wote ni KE.Gari ina mende na speed ni shida Mungu tu ndo yupo na atasimama nasi.Maajabu ni gari inayoenda mbele inaitwa gracious ilivotupita na speed zake aisee.

Itaendelea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimecheka, tamuu ndio nini hiki unatufanyia lakini!!!
 
Safari njema ukirudi Arusha karibu Engaruka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…