Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Abee!Zuriel
MamboAbee!
Na nasema hivi sintowaangusha
UmsindikizeKwa hiyo tufanyeje
Unaishi Engaruka Dada?Safari njema ukirudi Arusha karibu Engaruka.
Can I?Umsindikize
Not too far,Can I?
Hahahhaha yangu nitakusimulia pm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf kumekucha, nasubiri yako nitasoma.
Hapo ndio nasikia kuna mikuku ya kuchoma mikubwaSingida hapa.Nasikia Evelyn salt huwa yupo hapa
Haha Furahieni tu eti Mikuku Mikubwa Mtakula Mpaka Mabwana afya (Joke)Hapo ndio nasikia kuna mikuku ya kuchoma mikubwa