Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 825
- 1,074
Pamoja na Kumbeza sana, Mchezaji aliyepo kwa mkopo katika klabu ya Yanga, akitokea Berkane ya Morocco, Tuisila Rossein Kisinda, naona kila sababu kwake kushinda medali nyingine ya kombe la shirikisho (CAF) akiwa na klabu hiyo.
Kisinda ndiye mchezaji pekee anayecheza ligi ya NBC ambaye ana medali ya kombe la shirikisho msimu 2021/22.
Kisinda msimu amekua haimbwi sana lakini ni moja kati ya wachezaji waliochangia mafanikio ya klabu ya yanga msimu huu hususani kayika michuano ya kimataifa.
Kisinda amehusika kwenye magoli kadha kwenye michuano ya shirikisho msimu huu (Dhidi ya Mazembe, Marumo Gallants n.k)
Utabiri wangu ni kua anakwenda kuvaa golden medal msimu huu, mark my words[emoji3578]