MY VISION: Tuisila Kisinda anaelekea kushinda medali nyingine ya kombe la shirikisho akiwa na Yanga

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
825
Reaction score
1,074
Pamoja na Kumbeza sana, Mchezaji aliyepo kwa mkopo katika klabu ya Yanga, akitokea Berkane ya Morocco, Tuisila Rossein Kisinda, naona kila sababu kwake kushinda medali nyingine ya kombe la shirikisho (CAF) akiwa na klabu hiyo.

Kisinda ndiye mchezaji pekee anayecheza ligi ya NBC ambaye ana medali ya kombe la shirikisho msimu 2021/22.

Kisinda msimu amekua haimbwi sana lakini ni moja kati ya wachezaji waliochangia mafanikio ya klabu ya yanga msimu huu hususani kayika michuano ya kimataifa.

Kisinda amehusika kwenye magoli kadha kwenye michuano ya shirikisho msimu huu (Dhidi ya Mazembe, Marumo Gallants n.k)

Utabiri wangu ni kua anakwenda kuvaa golden medal msimu huu, mark my words[emoji3578]
 
#TotalEnergiesCAFCC | Back 2 Back

Yanga si ametwaa ubingwa wa #LigiKuu Back 2 back? Basi na Tuisila Kisinda anafanikiwa kuingia fainali ya michuano hii mara ya pili mfululizo akiwa na timu tofauti.

Msimu uliopita akiwa na RS Berkane ya Morocco alitwaa ubingwa na msimu huu tayari ameingia fainali akiwa na Yanga, Hivyo ana uhakika wa medali nyingine ya michuano hii

Bahati bahati[emoji123]View attachment 2626040

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…