My wife ameniruhusu kuongeza mke wa2,ushauri pls!

Sasa RR mi ninao 10 nafukuzana na Mswati kwa hiyo ushauri wangu utakuwa haufai
 
Last edited by a moderator:
Reactions: RR
Ni mtazamo wako tuu.
Sasa kama una uwezo wa kufanya hivyo na tayari umempata wa kumuoa why not?kwanini basi uamue kujiibia mwenyewe wakati unao uwezo wa kummiliki ndani na ukampata kwa muda una muitaji?

Nilikuwa sijui kama kuna watu wana mtazamo kama wako ktk dunia ya sasa!
 
Tuacheni ligi wakuu.
mpaka kufikia maamuzi hayo tayari nilishajipanga kuyakabili.So nashukuruni nyote kwa mawazo na ushauri.But pia nawashauri acheni zina!
 
nilidhani kuoa mke wa pili ni hadi mke wa kwanza awe na tatizo? au ukitamani mwanamke unamuoa? kwa hiyo ukimwona mwengine nae utamuoa?

ila hakuna kazi ngumu kama kumridhisha mwanamke, sijui kama wanaume mnalijua hilo.....
badala ya kutulia na mke unaweza jikuta unaanzisha chain ya mahusiano, wako, wa mkeo n.k n.k

ila kama mkeo karidhia go ahead........






 
Duuh hiyo reaction kuna kitu in the pipeline....subiri utayaona
 
kweli tunatofautiana wengine tunalalamika ugumu wa maisha,wengine wanaongeza matumizi kwa kuoa wake wawili.Kazi kwako baba ili mradi usije ukasababisha wake kuishi kwa shida
 
 
Last edited by a moderator:
Ebu weka hiyo picha pls,pengine naweza piga 2 kwa mpigo ili niwe nao wa3 lol.
nimewakabidhi kwa MUUMBA JUU watapata mume bora mwenye kupenda mke mmoja na kumheshimu huyo tu! MUNGU wa mbinguni awaepushe watoto wangu, NA watoto woteeee wa JEI EFU na MABAZAZI KAMA WEWE! AMEN!
 
huyo unayetaka kuoa sasa umeshamwambia kuwa unae mke wa kwanza mnaishi wote?

amekubali kuwa mke mdogo?
 
ni vzuri pia kaka yangu wa moyoni.

Unajua nilikuwa siamini kama kuna wanawake wanaojielewa kiasi chako.Daah umenitamanisha sana na coment yako hapo juu aisee huwa nafuatiliaga coments zako zinanifanya nikuvutie picha upoje aisee we hufai kuolewa na wanaume wa kiafrika coz wanaume wa kiafrika wanaendesha familia zao kimbogo na ubabe alafu wewe una facts mengi ambayo yangekufanya mmeo akuone kiburi na mjuaji daaaaa....nimeandika huku hisia zangu kwako zipo juu ile mbaya ngoja niweke nukta ila UNATISHA DADA YANGU.
 
Tuacheni ligi wakuu.
mpaka kufikia maamuzi hayo tayari nilishajipanga kuyakabili.So nashukuruni nyote kwa mawazo na ushauri.But pia nawashauri acheni zina!

Spika angalia usije ukazeeka kwa speed si unajua siku hiz kila kitu kimepanda bei.
 
Billie asante but i dont think that i deserve what you have said towards me. Pia hata hapa Tz kuna wanaume wanajua na kuheshimu utu wa mtu. Hivi nilivyo naweza sema ni % kubwa inapewa sapoti na mume wangu. so nafikir Mungu alinipa mume rafiki na namshukuru kwa hiilo.

pia mimi ni mtu wa kawaida sana tena nafikir atakaye bahatika kuonana na mimi atashangaa sana siko kama ambavyo wengi wanweza kuwaza kuwa niko hivyo. maisha yangu ni ya mboga na nyanya gengeni kama majority tu.
 
Last edited by a moderator:

Daa basi ubarikiwe zaidi sina la kuongeza upo unique sana kwenye hoja na coments zako.
 
Last edited by a moderator:
unalo, na yeye ana kidumu chake, alikuwa anasubiri tu upate sehemu nyingine umpunguzie kero za kumbana kila dakika,

unadhani wawake tu ndo wameumbwa kumpenda mtu mmoja? hata sie huwa huwa tunawapenda na wengie tofauti na nyie wenzi wetu
 

Aisee....kazi unayo
 
kwa hiyo ulikuwa unataka ushauri wakati tayari unalako moyoni hivyo ulikuwa unataka sapoti tu;
kwa jinsi ulivyoeleza inaonekana mkeo, ana kidume ambacho kinamfurahisha kupita wewe na anakosa muda wa kuwa nacho hivyo amekubali kiulaini utakapo kuwa unaenda kwa bi mdogo nae awe anajivinjari na kidume chake.
kuwa makini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…