My wife ameniruhusu kuongeza mke wa2,ushauri pls!

Jamaa ametuma maombi muda muafaka; wakati mkewe kapata wa kumkoleza na keshamuona mzigo anahitaji nafasi. Wanadhani wao tu ndio wenye uwezo wa kutamani nje. Lol.


Hapo tu mna mke mmoja na wanatembea nje ya ndoa hadi mnadata. Mkiongezea mtandao utakuwa wa optic fibre,lol! Ama kweli akili ni nywele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…