naona ata mtoa mada kajificha,PetCash ucku mwema,nipo bigbrother
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.
Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.
Kwanini ulimdrop na ukaenda club alone?
wewe kwanini usingeenda na mkeo?
Tangu lini watu wanaenda club kupiga story?
tangu lini mgogoro ukatatuliwa kwa mangumi?
Ulipoingia kwenye ndoa kumbuka uli surrender part of your sovereignty to her.kubali ukihojiwa kwani ana haki ya kufanya hivyo.
Haya yote umeyaleta mwenyewe na bado wamlaumu mkeo,namuonea huruma kwan she married an immature man.
OTIS
Pole. Hebu jipe shida ya kumchunguza ratiba yake ya jana baada ya kumshusha home ilikuwaje. Hii ni kwa sababu. hawa wenzetu akifanya kosa na dhamira yake ikamsuta, huwa wanatamani kuadhibiwa ili maisha yaende mbele.Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.
Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.
Pole. Hebu jipe shida ya kumchunguza ratiba yake ya jana baada ya kumshusha home ilikuwaje. Hii ni kwa sababu. hawa wenzetu akifanya kosa na dhamira yake ikamsuta, huwa wanatamani kuadhibiwa ili maisha yaende mbele.
Pole. If you can take trouble chunguza
Hukupaswa kutoa kipondo how comes unapiga mwili wako mwenyewe 'are u crazy'?Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. wanaishi kwa kuhisihisi tu.
Pole sana mkuu,Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could be an excuse ya mimi kuto hang kabisa na friends. Later alinipigia just to check my position. I told her where I am and she knows the joint. Alikuwa kama haamini vile but I told that I am there and she could just walk in if she feels like. Hakuja ila nami nilikaa mpaka around saa nne usiku then I went back home.
Asubuhi hii eti analeta zangwe kwamba nilikuwa na mwanamke ndio maana nili mdrop haraka haraka na kurudi town. Kweli nijijitahidi sana kumuelezea hakuelewa ilichofuata ilibidi nitoe KIPONDO. Shida ya wanawake wetu wa kiswahili wanaishi kwa kuhisihisi tu. Kweli nimekasirika sana and my whole day is spoiled.
Mungu na aiamshe akili
yako utambue ulivomkosea mkeo na urekebishe na ujiapize kutorudia
tena,jitahidi kukotrol hasira zako na kutumia busara zaidi kumsoma mkeo
je anapokubali jambo hua anamaanisha ndio au hapana!