Tatizo la lugha bwana..... Mkenya na Mtanzania walikuwa wakitambulishana kwenye mkutano mmoja wa East African Community.
Mtanzania: Are you married my brother?
Mkenya: Ooh, my wife is an angel, I am a very happy man!
Mtanzania: You are so lucky. My wife is still alive. How did your wife go to heaven?