:smile-big::smile-big:Atakuwa anakuibia kwa sasa...! Japo, utulize presha.
:confused2::confused2:Presha sina kabisaa, na wala sijawahi kumhisi vibaya mke wangu! Tumeshazeeka sisi, kazi kwenu vijana.
Dah nitafute huu wimbo niusikilize tena.....BUY ME A ROSE
He works hard to give her all he thinks she wants
But it tears her apart cause nothings for her heart
He pulls in late to wake her up with a kiss goodnight
If he could only read her mind, shed say
[CHORUS]
Buy me a rose, call me from work
Open a door for me, what would it hurt
Show me you love me by the look in your eyes
These are the little things I need the most in my life
Now the days have grown to years of feelin all alone
As she sits and wonders if all shes doin is wrong
Cause lately shed try anything just to turn his head
Would it make a difference if she said, if she said
[CHORUS]
Buy me a rose, call me from work
Open a door for me, what would it hurt
Show me you love me by the look in your eyes
These are the little things I need the most in my life
[BRIDGE]
And the more that he lives the less that he tries
To show her the love that he holds inside
And the more that she gives the more that he sees
This is the story of you and me
So I bought you a rose on the way home from work
To open the door to a heart that I hurt
And I hope you notice this look in my eyes
Cause Im gonna make things right for the rest of your life
And Im gonna hold you tonight, tonight
Do all those little things for the rest of your life
[CHORUS]
Buy me a rose, call me from work
Open a door for me, what would it hurt
Show me you love me by the look in your eyes
These are the little things I need the most in my life
Presha sina kabisaa, na wala sijawahi kumhisi vibaya mke wangu! Tumeshazeeka sisi, kazi kwenu vijana.
Nimekaa hapa nafunguafungua kurasa, kila nikijitahidi kutoka JF nashindwa, nimepitia forum zote nimesoma na kuchangia thread na post ninazoona zinavuta, Nikasema wacha niingie humu, kuingia tu nimejikuta mawazo yanabadilika kabisa, nimemkumbuka sana mke wangu, nimempigia simu nimeongea naye lakn bado namuwaza. KUsema kweli nampenda sana huyu mama, sina hata maneno ya kumfafanulia-ila kwa vitendo tu anajua nampenda!....ah na huu wimbo toka niuweke alfajiri umeloop mpaka sasa, unanifariji sana. Unajua ni wimbo gani mkuu?
Buy Me a Rose-LutherVandross!
hongera sana, mens ni wazito sana kuaddimit wanachofil. wewe ni mwanaume ktk wanaume!

I agrree with u FP ila kasi yao bado haijapanda sana, inaenda taratibuLady N wanaume siku hizi wamebadilika, wanasema wanachofill. naona utandawazi umesaidia
I agrree with u FP ila kasi yao bado haijapanda sana, inaenda taratibu
hongera sana, mens ni wazito sana kuaddimit wanachofil. wewe ni mwanaume ktk wanaume!
Nimekaa hapa nafunguafungua kurasa, kila nikijitahidi kutoka JF nashindwa, nimepitia forum zote nimesoma na kuchangia thread na post ninazoona zinavuta, Nikasema wacha niingie humu, kuingia tu nimejikuta mawazo yanabadilika kabisa, nimemkumbuka sana mke wangu, nimempigia simu nimeongea naye lakn bado namuwaza. KUsema kweli nampenda sana huyu mama, sina hata maneno ya kumfafanulia-ila kwa vitendo tu anajua nampenda!....ah na huu wimbo toka niuweke alfajiri umeloop mpaka sasa, unanifariji sana. Unajua ni wimbo gani mkuu?
so what!
kwa hiyo mkubwa we unaacha kufanya mambo sawasawa kwa kumuwaza mkeo!? Sasa kila m2 mahali unapoingia akawa anamuwaza mkewe tu unafikiri mambo yataenda humu duniani???
Usifikiri hata hao wavumbuzi wa mambo 2nayoyatumia kwa manufaa makubwa hata sasa kama akina ROBERT EINSTEIN, BRADIFORD HILLS n.k walikuwa kazi ni kuwawaza wake zao tu. Chapa kazi masuala ya malavidavi ni usiku na sio wakati wa kazi

Lol! Nimecheka sana,
Kumbe kumlav mke wangu wengine wanaumia. Hakyamungu kama unamaliza masaa 8 bila kumuwaza mkeo kuna tatizo....!
Kama unapata muda wa kuingia JF, tena forum ya malavidavi na kukosa muda wa kumuwaza mkeo kwa kisingizio cha kazi utakuwa mtu wa ajabu sana mkulu!
Mkuu nipo ila busy na mchakato wa kumpeleka Dr. Ikulu, mama ndubwi mzima ila anakutajataja kila siku.....Mkkuu umefufuka? Karibu sana jamvini! Vp mama ndubwi mzima? watoto je?