My wife to be ananuka mdomo,naogopa kumwambia!!

hmmm kaka bora mwambie but siyo direct mie naona we nenda pharmacy mwenyewe kabuy mouthwash for bad breath na dawa nzuri ya meno sensodyne nzuri ya nje,na perfum pia mnunulie na kuna cream avon butterfly ya kujipaka inanukia nzuri na ile pipi tik tak mdomo haunuki we mpe halafu mwambie honey nimekununulia hivi for u sijui utavipenda
 
Kaka siku zote ktk msafarawa mamba na kengess wapozz.
Nadhani ni vema tujue who is a woman nyie mnao mwambie bora aharibu hamjui mapenzi ng'o!!
Kaka najua kumwambia dada suala hilo ni ngumu kwani anaweza akawa anahisi inefrior kawako hata akipona hata amini mtakuwa hamuinjoy
ILE zero distance even after sex or muda wa kupumzika hawezi kukwambia kitu ataogopa kufungua mdomo.
Nenda kwa Dktari mwambie in advance atakwambia mwende nae na yeye anajua Saikology atakwambia jinsi ya kumwambia mwende
nae hata kwa njia ya kusafisha meno na mengine atapanga Dk.
And you will ever enjoy kitu roho inapenda.
 
be blessed
 
Mkuu mi naona kweli kama una mapenzi ya kweli na mwenzio haya mambo si ya kufichana na kwa nini anakasirika ukimwambia kasoro fulani basi urafiki wenu una matatizo...by the way mwanzo wa urafiki wenu hamkuwekana wazi kuwa kati ya nyie wawili kukiwa na kitu kinawakera muambiane jamani kuweni makini mambo ya mapenzi yahitaji uwazi zaidi...cheeerz
 
<br />
<br />
mchanie bwana kwani unafikiri wewe ndio utakuwa wa kwanza kumchania kuwa ananuka mdomo? Anajijua saana kwani wewe ukiwa unanuka mdomo ile asubuh hujijui? Hakuna harufu ambayo mtu ananuka asijijue yeye kwanza kama unataka hilo penzi liendele mpe live awe anatembea na mswaki









0









0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…