Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
-
- #121
Nashukuru kwa ushauri wako,nitaendelea kumuheshimiwa mshkajDemu wa mshikaji wako,, hana heshima we muheshimu jamaa yako then usimgonge huyo demu,,,, wa kazi gani mdau,,, unajua makazini uswahilini kuna mademu wanagongwa kushinda wauza K hapa mjini,,, km from monday to sunday anakula dudu,,,hafai huyo brooo hat km anafaaa ni wa mshikaji wako.
Hapo ulipo ni support ya mshikaji why dont you appreciate,,,,, tatizo vijan mnatak mtelemko,,,,unataka uweke history mbona mimi nishgonga huyu demu,,,utakuwa kwenye list ya walioukwaa nawewe!!!!
Jamaa namkubali mno, c unajua mie naingia pale wa2 wanaiba kinoma halafu mie wakanibania jamaa ndio akanifundisha kuiba ndio maana namkubaliRED:Kwa hiyo unastahi shemeji kwa sababu ya dhambi hii au nafsi inakusuta...?:A S 13:
Hamna noma kaka nitamchuniakaka, muogope huyo demu kama ana ukoma!!!!
kwani demu au mke wa mshikaji ni noma saaana!
pia kwakuwa ana dinywa na watu kibao huenda tayari ana "tanesco"mwilini.
achana nae !! ikibidi mchane kabisa kuwa akizidi utamwambia mmewe!
Hamna noma nitamuwashaWasha Washa kama lilivyo jina lako
Nashukuru kwa ushauri makiniusithubutu kabisa kummega huyo demu wa mshikaji wako, ni mbaya sana, huyo demu ana pepo wa ngono, wala jamaa yake usimwambie mwache aone mwenyewe na aamue mwenyewe ukimwambia anaweza kumuacha halafu demu akakulaumu wewe
Mnato na anacheza miguu yoteAisee, hao waliodinya wanasemaje? Mnato?
mpotezee lakini acha wizi ,sifa jmbaya hiyo!habari zenu wanajamvi,ni hivi mimi nafanyakazi na jamaa ambaye mkewe naye anafanya kazi ktk kampuni hiyo hiyo,tatizo ni kwamba huyo mkewe mwenyewe hajatulia hata kidogo ktk watu ambao niko nao kitengo kimoja ni watu wawili tu ambao hatujamchakachua huyu shemu we2.
Ktk hao ambao wamemchakachua/wanamchakachua,rafiki yangu huyu anajua live kuwa demu wake katendwa na mshikaji,ikafikia hatua ya kuanza kutishana kuuana.lkn hao wengine wanamega kisela ni mwendo wa kimyakimya ila mie nafahamu kuwa wanamtenda maana hawanifichi.
Kuanzia ijumaa mpaka j2 huyu demu anaenda kujirusha na kurudi nyumbani kwa j3 str8 kazini.
Binafsi nashindwa kumshauri huyu jamaa kuwa demu wake ni kicheche si mnajua tena mambo ya mapenzi na yeye kakolea ile mbaya.ila huwa najiuliza hivi huyu jamaa alimkuta huyu demu anauza ngozi au vp mbona hachukui hatua zozote?
Sasa hivi ananisumbua mie mara anikumbatie mara anishike something yangu mara anishikishe naniliyu yake yaani tukibaki wawili inakuwa ni vtuko kwa kwenda mbele binafsi namuheshimu jamaa maana nimemkuta pale kazini na pia ndiye aliyenifundisha jinsi ya kuiba hapo kiwandani
sasa ndugu zangu mnanishauri nini,nimdinye huyu demu liwalo na liwe au niendelee kumuheshimu msela wangu?
Maana naanza kuona huyu demu ataweza kufikiria kuwa something yangu haifanyi kazi
natanguliza shukrani zangu.
Hamna nomampotezee lakini acha wizi ,sifa mbaya hiyo!
Hamna noma nitamchana livekaka usiingiwe na shetani kwa kumtusi mke wa nduguyo, kumbuka unayo fanya kwa watu nawe utafanyiwa, angalia wako naye asije akagongwa na jamaa yako.KImsingi msaidie rafiki yako kiilinda ndoa yake na mpe live huyo shemeji yako tena mchana peupe na mbele ya watu wake. Kuwa jasili unajua wewe tu ndiye uliyebaki kuiponya ndoa Hiyo?
mkuu ili kulinda heshima kaa naye mbali..
Ila hawa viumbe sometimes hawatabiriki, usije kushangaa siku akikata tamaa akamwambia mshikaji kuwa umemwomba tunda..
Na heshima unayolinda ikawa hatarini vile vile, kwa hiyo jiandae kwa yote.
Ikiwezekana jihifadhie ushaidi wowote utakaoweza kuja kuutumia in case mambo yakiwa kinyume...
karibu mureeembo....:wink2:Avator yako imenikuna mno, ntakugongea thanx sababu ya avator
hujajibu swali langu.... wamstahi mkewe kwa vile alikufundisha wizi.. au dhamira yako ndo inakusuta kufanya uzinzi..?😡Jamaa namkubali mno, c unajua mie naingia pale wa2 wanaiba kinoma halafu mie wakanibania jamaa ndio akanifundisha kuiba ndio maana namkubali
hujajibu swali langu.... wamstahi mkewe kwa vile alikufundisha wizi.. au dhamira yako ndo inakusuta kufanya uzinzi..?😡
Hahahahaaaa!umenifurahisha sana leo washawasha,(MY WIFE)wa rafiki yako! Heading iko sahihi hiyo?
Hii inatokana na development ya maendelëo yetu ya lugha.. Jina la lugha:Kiswanglish cha mitaaniHahahahaaaa!umenifurahisha sana leo washawasha,(MY WIFE)wa rafiki yako! Heading iko sahihi hiyo?