My wife wake, Uwanja wa ndege eapoti, barabara ya pugu road, bustani ya mnazimoja garden, etc.Ingawa it doesn't make sense lakini hii lugha anaitumia mdau wa nanihii na libeneke ili kuongeza ladha ya globu yake, hii ni katika kufurahisha audience na wadau wana-relieve some stress.
We shouldn't try to be kill-joys, saa nyengine wabeba maboksi wanahitaji viburudisho. hata baadhi ya bloggers wa kizungu wana terms zao wanazotumia ambazo ni twisted words of English. the blog world are full of bloggerish words.
Huyu mkuu wa libeneke kwenye twitter 'anatwiti in propa inglishi ' ingawa sio richaboo!🙂