Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
ndio ufanye mambo shemeji.AiseeeeUnazidi kunipa apetait ya Mtoto aiseeeee
A Father like no other, so you were
You loved and protected me
You corrected and defended me
When I fell you lifted me up
When I cried you wiped my tears
You encouraged me to be strong, like you!
Now you are gone, forever taken
My heart still remembers those gentle walks
The strong voice that I inherited from you
And the audacity of love that you have given me!
I would love to have another walk with my father, again!
To all you who are fathers! Happy Fathers Day!
MMM
muhanga unataka ututoe machozi usiku huu. Pole sana, chukulia hiyo ni sehemu ya maisha. Maisha lazma yasonge mbele bila kujali vikwazo tunavyokumbana navyo.Mzee mwanakijiji poem yako imeniliza machozi! mimi baba yangu mzazi hakunitaka, lakini mamangu aliolewa na baba alienipenda upeo, akanilea na kunitunza vizuri san, alinipa mapenzi ambayo pengine hata babangu mzazi asingenipa! amenisomesha amenipa misingi mizuri sana ya maisha na leo ni mama ambaye najivunia sana sana babangu huyu mpenzi, amefariki early this year. I loved him so much, and I will always love him, now that is gone forever I miss him so much, he was my father and my best friend. Happy fathers day to all JFfathers
muhanga yote ni maisha ,mshukuru mungu chukulia kama ni changamoto katika maisha yako,sasa jitahidi kuwa mama mzuri fanya kazi kwa bidii, make him proud, as tumeambiwa sometimes wanatuona wakishafarikiMzee mwanakijiji poem yako imeniliza machozi! mimi baba yangu mzazi hakunitaka, lakini mamangu aliolewa na baba alienipenda upeo, akanilea na kunitunza vizuri san, alinipa mapenzi ambayo pengine hata babangu mzazi asingenipa! amenisomesha amenipa misingi mizuri sana ya maisha na leo ni mama ambaye najivunia sana sana babangu huyu mpenzi, amefariki early this year. I loved him so much, and I will always love him, now that is gone forever I miss him so much, he was my father and my best friend. Happy fathers day to all JFfathers
muhanga unataka ututoe machozi usiku huu. Pole sana, chukulia hiyo ni sehemu ya maisha. Maisha lazma yasonge mbele bila kujali vikwazo tunavyokumbana navyo.