My "World War One(WWI)" ndani ya ndoa.

haya wenye ndoa zenu tunawasubiri mtumegee vituko mnavyokutana navyo nasi tujifunze
 
Mkuu we mzee Kifimbocheza au Mwinyi mpeku???:A S 13::A S 13::A S 13:

hapana mkuu...but i find it interesting. Kwangu mimi naona ni lugha ya kudhalilisha lakini naona walengwa wameikubali. Hadi wenyewe wanaitumia katika posts zao. Ndo maana inabidi niulize...ni lugha sahihi?
 

Unaona ndugu, watu wasidharau visa vidogo vidogo vinaweza pelekea makubwa. Nimekupata ndugu mambo ya "side" ya kitanda!
 
sorry mate...i have never heard that line of defence before! ama sivyo cases nyingi za assault zingetupwa nje.

Hiyo defence inaitwa kwa kiingereza "provocation", yaani ikiwa poved vema hata kesi ya mauaji mshitakiwa anaachiwa huru. Ugumu wake ni kuthibitisha kuwa "was acted promptly before time to cool", yaani ithibitike kuwa lilikuwa ni tukio la ghafla hata akili haikupata muda sawia wa kutafakali.
 

kwa bahati nzuri nchi ninayoishi wameifuta hii defence maana ilikuwa inakuwa abused sana!
sina uhakika kama utakuwa umetimiza elements zake. Maana yeye pia anaweza kudai hivyo hivyo...
 
nilimrukia na kupiga ngumi, akaanguka chini nami nikateleza kwenye zulia la plastiki lililokuwa na mji na kuanguka, akakamaka mkono wangu na kuning`ata, ikafuata tafrani kidogo lakini nikashituka kuwa majirani watasikia nikamwacha.

Chapa,

1. Mkiwa wa-chumba alikuwa analala upande gani wa kitanda?

2. Wanawake wengine bila kumtandika mangumi hawezi kuamini kama unampenda kwa dhati!

3. Wanawake wengine ukimtandika ngumi huwa mapenzi yameishia hapo hapo kinachobaki ni ku-pretend!

4. Inawezekana pia mke wako huyo anajihusisha na ushirikina (mganga wake alimpa sharti hilo ili akutawale)!

5. Inakuwaje unabishana na mwanamke mpaka "kitandani"?
 


Dah! mkuu umenipiga maswali tata kweli, najibu hilo la kwanza, wakati wa uchumba alikuwa halali kwangu bali kunitembelea tu na kuondoka.
 
Hivi umekisikia kisa chenyewe cha kupigana??
Nimesoma kuelewa chanzo cha ugomvi. Na mara nyingi vipimo huanzia kwenye vitu vidogo na vya kijinga. Lengo huwa ni hilo2 la kupima strength n weaknesses.
 
Yaaaaaaawn! Usingizi kwishnei..mh! Nilikuwa naota 2nazozana nani atazima taa 2kilala.nimeamka taa bado inawakaa na kuna paka kaingia na kuisukuma almanusra iunguze nyumba nzima..mmeamkaje wana JF.wapi sheikh yahya anitabirie ndoto yangu.haha.zzzzzzzzzzzzz! Bak 2 sleep.
 

Ona sasa kumbe wengine ugomvi wao ni nani wa kuzima taa, ni ndoto na pengine ndicho huwa kinatokea kati yao, jamani pateni somo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…