Ni ngumu sana, hata kusafiri nje, hata kwenda tu hapo Kenya unaona ni shida. Maana CIA wana mkono mrefu, ukishatoa pua nje tu wanakufyeka.
Hivi anasafirigi kweli?Very useless kumfungia mtu asiye na mpango wa kwenda huko.
Bashite alifungiwa ila hadi leo anadunda tu. US waache huu ujinga wa kudhani kila mtu anataka kwenda huko.
Lini Mkuu?Hizi story unatoa kijiwe gani?
Makonda alihudhuria final ya AFCON Morocco alishikwa?
Watoto wake wamezaliwa SA ambako aliweka kambi karibu mwaka mzima, alishikwa?
CIA imshike Makonda au Mafwele kwa kosa gani? Wamevunja sheria gani za US? US wana mamlaka gani over TZ? US haipo hata ICC.
Ban na arrest warrant ni vitu viwili tofauti kabisa. TZ, as a country, ipo banned kwenda US under Trump sanctions, watz wanashikwa au wanazuiwa kwenda nchi zingine? Wabongo wengi uelewa mdogo sana.
Presuming kweli haendi huko nje, imempunguzia nini yeye kama yeye wakati ndani ya nchi anatamba atakavyo kwa kodi zenu? Hizi ban za kutoingia USA ni ujinga.
Lini Mkuu?
Ni ngumu sana, hata kusafiri nje, hata kwenda tu hapo Kenya unaona ni shida. Maana CIA wana mkono mrefu, ukishatoa pua nje tu wanakufyeka.
Some time things got start somewhere.Haya Mafwele hayamashitui maana hana haja ya kwenda Marekeni!
Hivyo Pompeo you need to do more than maneno
Yeye yanaweza yasimshtue lakini viongozi wake yatawaathiri kwa namna fulani. Huoni moto anaopelekewa Ferdinand kwa kupokelewa na mvunja haki za binadamu kwa ushahidi wa kwamba amepigwa marufuku hata kuingia marekani kwa uovu wake huo. Ferdinand akirudi kwao sidhani kama ataandika chochote kuhusu Tanzania kwenye page zake za mitandao ya kijamii,Haya Mafwele hayamashitui maana hana haja ya kwenda Marekeni!
Hivyo Pompeo you need to do more than maneno
Ukiona hivo ujue wamemuachia tu, CIA ni magaidi mkuu!Hiyo hapo Bashite akiwa Morocco. Bashite anasafiri atakapo kama kawaida. Bashite kakaa SA karibu mwaka mzima bila shida yeyote. Hilo katazo la US halina tija yeyote unless unataka kwenda huko US kwenyewe.
View attachment 3593043
Yeye yanaweza yasimshtue lakini viongozi wake yatawaathiri kwa namna fulani. Huoni moto anaopelekewa Ferdinand kwa kupokelewa na mvunja haki za binadamu kwa ushahidi wa kwamba amepigwa marufuku hata kuingia marekani kwa uovu wake huo. Ferdinand akirudi kwao sidhani kama ataandika chochote kuhusu Tanzania kwenye page zake za mitandao ya kijamii,
Ukiona hivo ujue wamemuachia tu, CIA ni magaidi mkuu!
Mazee wana maana yao kufanya hivyo.Haya Mafwele hayamashitui maana hana haja ya kwenda Marekeni!
Hivyo Pompeo you need to do more than maneno
Haezi pata visa Europe wala UK haha Canada na scanavia countries. Mara nying ndo inakuwaga hivyo, hao marafiki wa marekaniAtaenda hata mexico au canada