We nawe acha kusumbua watu.
Jana ulianzisha thread kua una girlfriend ambae bado unampenda ila hataki kuwa na wewe. Jana hiyo hiyo mkarudiana. Jana hiyo hiyo umekutana na X wa tangu 2010 na leo hii simu zako hapokei na unamtaka.
UNABOA SASA. . . . usipotezee watu wengine muda na thread zisizo na mwelekeo.
​muulize ka ana hati miliki ya hii thread ndo apangie watu kuchangia au kutochangiaWe ndio useme kama umetumwa kupost.
Hamna anaeweza kunipangia nichangie au nisichangie, na ungetaka nisichangia ungeianzisha PM. Kuhusu kufuatilia hamna haja ya kufuatilia pumba, zikiwekwa kwenye maji zinaelea zenyewe.
Hahaha,eti kapauka kama muogo,duuh,kali kweli kweli...aah,wengine noma unakuta ukimuacha tu anazidishine mbaya...halafu usikute anafanya kazi ya maana.duuh..hapo ndo mmh!.
Hapo sasa. Ila pia naambiwa wao ndo wabaya zaidi coz mkibreak up yaani atatamani hata ufungwe maisha jela yaani full kukuombea mabaya tu, ingawa wachache huweza kuweka pembeni visasi na visilani vyao
Lizzy na mie naomba huo mtambo ulionao wa kufatilia huu ukenge tafadhali.
Labda bwana wake yupo nje ya nchi na ameamua kujiheshimu.
Au hakupendi kimapenzi bali kiurafiki.
Sasa wewe ndie wa kumove on tafuta wa kwako. Yeye anaendelea kuongea nawe sababu ameshakuambia na anajua umeelewa.
Au duh labda ulikuwa haumrizishi na mambo yako hakuyapenda, yaani hukumrusha roho kwa mengi
Good luck ila ukijilazimisha ndo utampoteza kabisa hata urafiki
Tafuta wako mpya
We ndio useme kama umetumwa kupost.
Hamna anaeweza kunipangia nichangie au nisichangie, na ungetaka nisichangia ungeianzisha PM. Kuhusu kufuatilia hamna haja ya kufuatilia pumba, zikiwekwa kwenye maji zinaelea zenyewe.
Niliachana na GF wangu tangu mwaka 2010.Jana katika pitapita zangu,nikaingie kwenye hotel flan kupata moja mbili,kuangaza kwa mbele zaid nikamuona nae kakaa na marafik zake wa kike wanakula na kunywa,nkaona si vyema kwenda kumsalimia,tukaongea sana,kama hatukuachana vile,she was ful of hapnes..najuta hata kwa nini tuliachana..Tatizo linalonitatiza,aliniambia ana mchumba mwingine,but whenever i find her anapokea calls zangu,sms anajibu vizuri tu,sometimes najifanyaga kama napotezea namtext hallow sweet,anajibu pia kimapenzi hivyo hivyo.Huwaga namuomba ushauri wa mambo mbalimbali,ananijibu,sometimes natoka nae out,just for a talk,anakuja..The problem is,tangu nikae nae au ni meet nae,simu yake haiiti wala kupigwa..nashangaa huyo mwanaume alieniambia anae ham kei?,sa nyingine mpaka najifanya kumbip kama nimekosea namba inaita tena kwa loud kabisa..Wakuu,i still love her,sijamtongoza tena,nishaurini nimfuate tena?,maana she has been so kind mpaka namshangaa,nikimuuliza how is your bf,anasema,yuko poa kabisa,is giving you hey!.She is stil beautiful,educated one,descent,but nipo mtegoni,sijui yupo na mtu kweli?need your advice please.
We nawe acha kusumbua watu.
Jana ulianzisha thread kua una girlfriend ambae bado unampenda ila hataki kuwa na wewe. Jana hiyo hiyo mkarudiana. Jana hiyo hiyo umekutana na X wa tangu 2010 na leo hii simu zako hapokei na unamtaka.
UNABOA SASA. . . . usipotezee watu wengine muda na thread zisizo na mwelekeo.
We ndio useme kama umetumwa kupost.
Hamna anaeweza kunipangia nichangie au nisichangie, na ungetaka nisichangia ungeianzisha PM. Kuhusu kufuatilia hamna haja ya kufuatilia pumba, zikiwekwa kwenye maji zinaelea zenyewe.
Ntashobokaje na CRAP bana?
Hutaki ujinga na wewe ni mjinga?
Hata sijafuatilia, sema hiyo jana na mie nilikua nachangia hiyo thread nyingine.
Hata miye sasa nakuogopa...........................mbona unakuwa mkali hivyo kwa mwenzio....................hata kama kakosea huwezi kumrudisha kundini kwa heshima na adabu hadi umkaripie mwenzio hivyo?
Are you still oozing with sarcasm?