Hawachelewi kusema aliyenisaidia ndio mwenye mzigo we jichanganye uone maneno yatakavyosambaa
5 mothns hawezi
toa..kibaya zaidi..hajawaambia kwaoo..nimemweleza afanye hivyo..maana
anaweza pata matatizo makubwa zaidi..
tukiwa tunahofia mambo kama hayo binadamu tutakuwa hatusaidiani. Kuna watu hata kusaidia omba omba barabarani hudai wanaogopa hela zao zitayeyuka...
Amsaidie tu, yakitokea hayo watafanya vipimo.
Juzi tu mzee mmoja kaja kwenye kabiashara kangu anaomba chenchi kumbe chuma ulete jioni hasara 70000 kumbe mzee kazoe sasa tunamwinda.Huyu jamaa nilikuwa na mpaka upande mwingine wa shilingi akae akajua
My X - ni mjamzito wa jamaa alieukataa..lakini anahitaji msaada wangu..nimpatie pesa ya kwenda hospitali anaumwa sana..nifanye nini wadau..roho inanisuta kumkaushia..
Hivi wanaume wanaokataa mimba bado wapo?dunia hii vijana wanaokufa kwa bidii hivi?
You just help her ikibidi mpeleke kabisa ili kama anania ya kutoa usijetupiwa lawama..kwa kumpa hela
Wewe Swts wanaume wa kukataa mimba wataisha dunia ikiisha...lol

Wanakataa majukumu hao, mtoto akisha kuwa mkubwa na kazi yake nzuri au umaarufu basi yeye ndiyo wa kwanza kujisifu 'huyu kijana wangu hodari'.
Natamani ningechapa viboko wote wanaokataa watoto wao wakiwa wadogo.