Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Me nlivosoma kuwa wameita askari wa akiba nikasema hii sasa mtiti kumbe chenga[emoji3]Wee acha tu Singh yani mabomu matakatifu yamepenyezwa kwenye maandaki yao walipojificha kama panya na wanamgambo wa Hamas kupata room temperature challenges.
Wayahudi ni nouma
Ile ilikuwa danganya toto kwa Hamas ili wajikusanye kwenye mashimo yao hili vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka viwapate vizuriMe nlivosoma kuwa wameita askari wa akiba nikasema hii sasa mtiti kumbe chenga[emoji3]
Hii habari ya hili tukio mbona sijaionaIle ilikuwa danganya toto kwa Hamas ili wajikusanye kwenye mashimo yao hili vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka viwapate vizuri
sasa nani anayechafua amani hapo hemu weka ushabiki pembeni mkuu mbona mambo yapo wazi, izrael anapora ardhi ya Palestina na mpka sasa kashaimega pakubwa mno ,wanawanyang'anya wapalestina makazi yao wakiulizwa wanasema ile ni ardhi yao walioyoahidiwa na mungu wao miaka kama 3000 iliyopita ,asa hizi akili kweli.....Baba zao ndio wapuuzi badala kuitafuta amani wanataka Vita still wanaedelea kuzaa Kama sio wajinga Ni Nini[emoji15]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hii habari ya hili tukio mbona sijaiona
ebu nipe link
Mbona wameshindwa kuifuta kwenye ramani ya dunia?Haha hizo ndoto sa ivi Israel wanamtumia yule kibaraka wao Abbas ajidai kuomba vita isimamishwe wakati hana hata uwezo wa kusogea Gaza.
Israel hawezi vita wewe na ukitaka kuamini leta picture moja inayo onyesha kuna silaha kwenye yale majumba anayo ya vunja.
Hamasi anasema siku zote Israel kafilisika hana uwezo wakivita isipokuwa wa kuvunja majumba na kuwauwa raia wasio na hatia.
Mkuu,hivi unajisikiaje unaposherehekea kifo cha mwanadamu mwenzako,Ngoja nikwambie kitu.Kama Israel ni Taifa teule na Palestine ni Taifa Laanifu basi wewe Utakufa kabla ya Mwisho wa Mwezi huu.Ila Iwapo Wote ni viumbe wa Mungu ambao wanastahili kuishi kwa kuheshimiana na kuvumiliana basi Utaendelea kuwa Hai Mpaka SIku Israel na Palestine watakapoacha Kupigana bila kuwa na sababu za Msingi zaidi ya Ushamba na Ujinga usiokuwa na Mantiki.Wee acha tu Singh yani mabomu matakatifu yamepenyezwa kwenye maandaki yao walipojificha kama panya na wanamgambo wa Hamas kupata room temperature challenges.
Wayahudi ni nouma
[emoji23][emoji23]Bora kuwa MTUMWA ukimtetea myahudi kuliko kutokuwa MTUMWA ukitetea jamii nyingine uchwara
Akikujibu,ni tagMbona wameshindwa kuifuta kwenye ramani ya dunia?
... ha ha ha! We jamaa! Ila Hamas Eid el-Fitr hii wameila "vizuri sana"; hawatasahau. Waliyataka wenyewe na mauchokozi yao yasiyo na kichwa wala miguu! Naona mafilisti ya kwa Mpalange Buza kama yameishiwa pumzi hivi; kelele zimepungua tofauti na mwanzoni.Wee acha tu Singh yani mabomu matakatifu yamepenyezwa kwenye maandaki yao walipojificha kama panya na wanamgambo wa Hamas kupata room temperature challenges.
Wayahudi ni nouma
Free PalestineInakuwaje wanajamvi!
Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush.
Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa Kishindo kikubwa. Wanamgambo wengi wameshafukiwa.
Taifa teule limeenda mbali nakusisitiza Hamas lazima walipe mabomu walioshambuliwa nayo kwa kuwapelekea bills.
God bless and protect Israel
View attachment 1784687
IDF TRICKED Hamas and then obliterated their tunnel network
There was confusion when the IDF said shortly after midnight that ground forces were 'attacking in Gaza', but it was a trick to get Hamas fighters into the tunnels before bombing the network.www.dailymail.co.uk
Nimemtag toka juzi Bwanautam STRUGGLE MAN RTI lakini wapi hadi Nimechoka... ha ha ha! We jamaa! Ila Hamas Eid el-Fitr hii wameila "vizuri sana"; hawatasahau. Waliyataka wenyewe na mauchokozi yao yasiyo na kichwa wala miguu! Naona mafilisti ya kwa Mpalange Buza kama yameishiwa pumzi hivi; kelele zimepungua tofauti na mwanzoni.
unasimulia kama kitu cha mzaha!! watu wanatesekaInakuwaje wanajamvi!
Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush.
Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa Kishindo kikubwa. Wanamgambo wengi wameshafukiwa.
Taifa teule limeenda mbali nakusisitiza Hamas lazima walipe mabomu walioshambuliwa nayo kwa kuwapelekea bills.
God bless and protect Israel
View attachment 1784687
IDF TRICKED Hamas and then obliterated their tunnel network
There was confusion when the IDF said shortly after midnight that ground forces were 'attacking in Gaza', but it was a trick to get Hamas fighters into the tunnels before bombing the network.www.dailymail.co.uk
Shauri zao wameamua kukataa ukweli. Mbona hukuhuzunika kama hivi ISIS na Alshabab wanavyochinja wamatumbi na Waislamu wenzao??unasimulia kama kitu cha mzaha!! watu wanateseka
unasimulia kama kitu cha mzaha!! watu wanateseka
Hamas hayo akiwa kajificha katikati ya raia, tena Israel ni ya kupongeza kwa kupunguza athari kwa raia wa kawaida.Haha hizo ndoto sa ivi Israel wanamtumia yule kibaraka wao Abbas ajidai kuomba vita isimamishwe wakati hana hata uwezo wa kusogea Gaza.
Israel hawezi vita wewe na ukitaka kuamini leta picture moja inayo onyesha kuna silaha kwenye yale majumba anayo ya vunja.
Hamasi anasema siku zote Israel kafilisika hana uwezo wakivita isipokuwa wa kuvunja majumba na kuwauwa raia wasio na hatia.
Hivi Saladin alikuwa mzaliwa wa Syria au Iraq? Mambo mengine ukiyatafakari yanashangaza kidogo, mfano: najiuliza huyu King George alikuwa anasafiri kutoka Uingereza kuja mashariki ya kati/Jerusaleem na majeshi akitumia usafiri gani, nasikia alikuwa wakati mwingine anapigana kwa miaka bila ya kurudi kwao Uingereza!!! Hawa watu walikuwa na moyo/ujasiri wa kiwango gani cha kupigania DINI??Nacho wa sifu Uingereza wanayo history ya royal family toka karne ya 11 huko enzi za king Richard 1 the lion heart naipenda sana history ya hi royal family.
Mfalme nayependa sana kwenye royal family ni King George. Huyu alikuwa anasafiri hadi Jerusalem enzi za crusade kupambana na waarabu na ottoman kuilinda na kuikomboa Jerusalem.
Ila kuna muislamu mwarabu shujaa katili mbishi na alikuwa na mbinu kali za kivita kutoka Syria Ayub Ibn Saladin aliwapa wakati mgumu sana crusader.
Saladin alikuwa hatari na kuapa kuifia dini yake