Myahudi alivyowachezea akili jana Hamas jana kwa kuwadanganya anaingia Gaza

wanawadhibiti kila kona ila hamas bado wana silaha na israel pia alijua hamas ana rocket za kuhamisha ndo apige kumbe jamaa sahv wanazo automatic wanaishia kupga majumba yasiyo na silaha
 
Ukiristo ulipamba moto sana ulaya enzi hizo. Watu walikuwa tayari kufa kwa ajili ya Yesu. King Richard 1 the lion heart na akina king George lilipokuja swala la Ukiristo hawakuwa na mchezo nayo.

Walisafiri na farasi na kwa miguu mwendo mrefu. Waliikwepa sana Antioch Turkey kwasababu ya Byzantium empire. Wakazunguka Juu Bohemia ambayo ni modern Czech Slovakia na Ukraine Bulgaria kuizunguka black hadi Georgia.

King George alipapenda sana Georgia alipozaliwa Joseph Stalin ndo maana hilo taifa linaitwa Georgia baada yake na bendera ya Georgia inashabiana na ya England ambayo ni nyeupe na red cross (st George cross).

Pitia Iran na kushuka had Jerusalem.

Pia kuna Charles the Great wa Ufaransa (charlanagne) naye alipambana sana na Saladin yeye aliwabadilisha sana watu kwa nguvu kuwa wakristo na kuwabatiza kwa lazima
 
wanawadhibiti kila kona ila hamas bado wana silaha na israel pia alijua hamas ana rocket za kuhamisha ndo apige kumbe jamaa sahv wanazo automatic wanaishia kupga majumba yasiyo na silaha
Sasa Mbona wameshindwa kuifuta Israel na wameizunguka. Si mataifa yote hayo Waislamu wanataka Israel isiwepo? Kinachowashinda nini wakati wenyewe ni waabudu Mungu mmoja wa kweli?
 
Nyoko wewe.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaaani wanachezea kichapo na wanalipia????
 
Hamas wanasababisha haya yote, wasingekua wanajificha kwa RAIA. Wanarusha makombora wakiwa wamejificha kwa RAIA.
Afu tuache kuilaumu Israel maana hata hao Hamas wanaporusha makombora hawaangalii kama kuna watoto, au hata RAIA. Raia wa Israel wana haki sawa na wa Palestina
 
Sasa alieliteuwa hilo taifa la Israel na hiyo bendera ulioshika ndio kawatengenezea yeye?
 
Hizo haki sawa unazosemea ndio wakapore ardhi za wenzao?

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
 
Sasa alieliteuwa hilo taifa la Israel na hiyo bendera ulioshika ndio kawatengenezea yeye?
Ndio mkuu wangu. Wee Tulia tu acha porojo jamvini huku sisi tunachanja mbuga kwenye mibaraka
 
Hivi Hawa mayahudi mnayoyashbikia sindio walio msulubisha mungu wenu Leo mmekua upande wao.
 
Watoto hawana hatia lakin wakiwa wakubwa wanakuwa kama baba zao kwahy Israel wameona wamalize mzizi wa fitna
 
hao walikuwa machizi
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Safi Sana.
 

Kitu cha kwanza kumbuka kwamba jeshi la Hamas lina watu wasomi si mbumbumbu kivile,wengi wana elimu ya vyuo vikuu na wengi ni wana sayansi.

Msisisikilize sana propaganda za dailymail hilo ni gazeti la Uingereza ambalo ni tabloid sio broadsheet lengo lao ni kuiipigia debe Israel no matter what? Kumbukeni kwamba wanamgambo wa Hamas wana kikundi mahili cha kijasusi,umesikia hata jeshi la Israel likikili ukweli huo, ndio maana ndege za kivita za Israel zimekazania kuporomosha majengo marefu huko Gaza na kwingine ambapo jeshi la Israel linakidai majengo hayo marefu yanatumiwa na majasusi wa Hamas kukusanya habari za kijasusi kuhusu mwenendo mzima wa jeshi ka Israel, nyinyi badala ya kutafakari mambo kiundani mnakimbilia kunukuu habari za kusema eti baada ya Hamas kuona msafara wa matela yaliyo beba vifaru vya Israel Hamas walikimbilia kwenye mahandaki wakiwa na lengo la kushambulia/teketeza vifaru vya Wayahudi - kitu cha kwanza Hamas si wajinga kiasi hicho, wana information zote at their finger tips kuhusu nini kimepangwa kufanywa na jeshi la Israel, kumbuka si wanajeshi wote wa Israel wana support uwenda wazimu wa Natenyahu na baadhi ya genge lake la wabunge wenye itikadi kali za ubaguzi wa rangi ndani ya Bunge la Israel, hao ndio ni chanzo cha vurugu zote zinazo endelea nchini Israel.

Now back to the main point, contrary na taarifa potofu za jeshi la Israel, ukweli wa mambo hakuna kundi la Hamas lililo kimbilia kwenye tunnels ndio maana licha ya ndege za Israel kudondosha matani na matani ya mabom kwa kile walicho dai ni tunnels za Hamas chini ya aridhi, usiku huo huo jeshi la Israel wakidai wame wateketeza wanamgambo wote wa kundi la Hamas ndani ya tunnel - sasa nini kilitokea kesho yake? Hamas harakati zao za Urushaji wa roketi kwenda kushambulia miji ya Israel zikavurumishwa kwa wingi zaidi, yaani ni as if Hamas wamefufuka kutoka kwenye wafu kwenye mahandaki yaliyo fukiwa/haribiwa na ndege za za Israel na kwenda kuvurumisha maroketi kwenda kusjambulia miji ya Israel kesho yake!! What does that tell you? Ni wazi Hamas are light years ahead of Israel military, war tactics wize that is - na Israel ikiendekeza ubabe wake itakuja kudhalilishwa huko mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…