Myahudi alivyowachezea akili jana Hamas jana kwa kuwadanganya anaingia Gaza


Israel hana uwezo kivita na bado anawatawala?!
 
Hivi hawa mayahudi kwa nini wasipigane na wakubwa wenzao wao wanakomaa na hivyo vitoto
 
A. Hitler huwa anashanga sana technology ya sasa ni kubwa lakin adui zako unashindwa wathibiti
 
Mkuu mbona umeongea kwa uchungu sana vipi uko poa?.
 
Israel hana uwezo kivita na bado anawatawala?!
Tatizo walitawala wakati vijana walikuwa natumia mawe tuliza ball uone kama watabaki kutawala miaka inayo kuja.

Zamani walikuwa wanadanganya watu eti taifa lao haipiti hata sindano sa misumiri inapita imebaki kipite kisu tu kiwamalize.
 

Unataka kulinganisha kitengo cha intelijensia cha Hamas na Mossad?

Kwa sasa hatusikii rocket zinarushwa kwenda Israel ila tunasikia majengo gaza yanalipuliwa nini kimetokea? Ile force ya juzi waliyokua nayo ya kurusha rocket non stop imeishia wapi?

Kwenye vita hivi kila mtu ana mtazamo wake ila IDF ni moja ya jeshi lililofanikiwa zaidi kwenye operations zake kwa kushirikiana na na vyombo vyake vya ujasusi usije ukalichukulia poa ndio maana Israel iko hapo miaka na miaka na vita karibu zote na hayo makundi wanashinda.

Inawezekana Hamas wakawa na intelijensia itakayowasaidia kupata info za mwenendo wa jeshi la Israel ila Mossad wana taarifa za uhakika zaidi juu ya kikundi cha Hamas ndio maana baadhi ya viongozi wa hamas wamekua targeted this week na wameondolewa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Unaelezea utadhani uko frontline huko Gaza,unaposema Hamas wanapata Info kupitia baadhi ya Wanajeshi wa IDF nimeishia kucheka tu.Mkuu usitufanye watoto hapa kutudanganya,walau sote tuna access ya infomations kama wewe tu na sote tunazipata mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…