Myahudi kachapika huko! Tutegemee nini??

Netanyau kawahi kurudi nyumbani, hezbollah wajipange..
Hahaha sawa atapiga vibomu vyao pale Lebanon aseme kaifuta Hezbullah, hana lolote akiwapiga Hezbullah na Hezbullah watampiga zaidi ya yeye atakavyo wapiga, Hezbullah ni moto wa kuotea mbali.
 
Hahaha sawa atapiga vibomu vyao pale Lebanon aseme kaifuta Hezbullah, hana lolote akiwapiga Hezbullah na Hezbullah watampiga zaidi ya yeye atakavyo wapiga, Hezbullah ni moto wa kuotea mbali.
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Hizo ni harufu za viungo tu chakula hata kupikwa bado, Kipondo bado hakijaanza, war cabinet inaendelea na vikao, very harsh response yaja
 
Imam huseni ndio mdudu gani nyie subirini kipondo Netanyahuu amerejea
 
Halafu hao watoto waliuawa kwa shambulizi la hezbollah sio wayahudi ni waislamu wenzenu wanaitwa wa Druze sasa sijui wafia dini mnashangilia nini
Yoyote aliye ndani ya Israel ni mzayuni na adui wa ubinadam haijalishi ni muislam, myahudi,mzayuni au mkristo!!

Cha kukusahihisha Druze sio waislam acha udini
 
Kumbe ni 11 tu? Uje kuleta mrejesho kesho kama Myahudi amefyeka 68 pia
 
Hizo ni harufu za viungo tu chakula hata kupikwa bado, Kipondo bado hakijaanza, war cabinet inaendelea na vikao, very harsh response yaja
Msije lia America kawanyima silaha, nyie humuwawezi Hamas mkamuweze Hezbullah
 
kwani peke yake ndiyo aliitetea uislamu?
 
Halafu hao sio wayahudi ni waarabu druze. Ila ni waisrael
 
war cabinet inaendelea na vikao, very harsh response yaja
Hii ni sasa hivi!

Hezbollah 'attacks kibbutz in northern Israel'​


Hezbollah says it has attacked the Manara kibbutz in northern Israel.

It did so with "appropriate weapons and directly hit it", it said in a statement.

The attack led to the "burning and the injury of those inside it", Hezbollah added.

The Lebanon-based group said it took action "in support of our steadfast Palestinian people in the Gaza Strip and in support of their valiant and honourable resistance".

The attack was also in response to the "enemy's attacks on the steadfast southern villages and safe homes", it said.


 
Yoyote aliye ndani ya Israel ni mzayuni na adui wa ubinadam haijalishi ni muislam, myahudi,mzayuni au mkristo!!

Cha kukusahihisha Druze sio waislam acha udini
Adui wa ubinadamu kwa mujibu wa nani?!
 
Zama
Hezbollah hawahusiki vipi wakati hata kama ni failure ya iron dome root cause ni interception ya kombora lao(Hezbollah)?

Watalipa gharama kubwa! Madogo 11 wa kiebrania waliouliwa ni wengi mno kwa hesabu yoyote ile.
Zama Zimebadilika Mkuu. Mwambie Netanyahu aingie front- war kwa Hezbollah kama Uwezo Anao?! Hiyo Inaitwa Nipe Nikupe
 
Bila shaka tegemea myahudi kutembeza kipondo heavy hezbollah kajiingiza mdomoni mwa joka chatu yahudi
Tangia Oktoba Hizbollah kaishambulia Israel ndani ya mipaka yake kwa kulipua kambi ya Galilee mara tatu na kasababisha mji mzima wa kaskazini kuhamwa.
Mbona hao Israel hawakujawa na hasira hivyo waje wajawe na hasira sasa hivi!?
Yani Hizbollah watangaze kuishambulia Israel na kuogopa kujitangaza kushambulia Gollan heights?
Mtakua mnaota ninyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…