Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Salam kwenu wakuu, leo kwenye pitapita zangu nimekutana hii story nimeona ni bora tujadili pamoja. Inasemekana mwanadamu anatumia asilimia kumi (10%) ya ubongo wake inamaanisha kati ya asilimia 100 unatumia 10% hizo 90% zilizo baki hazina kazi, Lakini cha kushangaza 3-5% ya uzito wako ni uzito wa ubongo pamoja na hilo 20% ya oxygen na glucose inaenda kwenye ubongo
Hii concept imetumika kwenye movi ya LUCY kama ujaangalia download hapa Free Movie Download - Full Movie Download | CooLMovieZ
Kama umesoma kitabu cha how to win friends & influence people kuna huu mstari "the average person develops only 10% of his latent mental ability"
"[this myth is] one of the hardiest WEED in the garden of psychology"-Donald Mcburney
embu fikiria kama watu tunatumia 10 percent of our brain's capacity...imagine if we could access 100 percent
WALE WA MABASI YA NJANO PITA HAPA Do we only use 10% of our brains?
Mkuu ww unatumia asilimia ngapi ya ubongo wako? Mm nahisi natumia 70%