o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 428
- 385
Habari za jioni bandugu ?
Ukiwa unaelekea maghettoni/nyumbani/ kwa shemeji au popote pale kwa ajili ya kuupumzisha mwili baada ya shughuli za leo nataka uniambie ni mzaha sio mzaha?
Kwa utaani kabisa, miaka mingi iliyopita warusi walitengeneza mashine ya kukamata wezi. Nchini mwao baada ya siku 5 ikakamata wezi 100.
Ghana wakaona ni kitu kizuri kwanini na wao wasiipate. Wakainunua, baada ya siku 2 ikakamata wezi 10000.
Basi bana, nasikia ikaletwa Tanzania. Baada ya saa 5 mashine yenyewe ikaibwa. Unaelewa ndugu msomaji. IKAIBWA.
MWISHO