Angekuwepo kalikawe huu ukweli angeusema ila mondi wa tandale ameamua kukaa kimya.
Leo nimemkumbuka huyu msanii mwanaharakati na mwanasiasa Mzalendo baada ya ukimya wake wa muda mrefu tangia aachie kibao chake cha NASOGEA GOLGOTHA kibao kilichosheheni mambo mengi ya siasa hasa yaliyokuwa yanatokea kwny awamu ya tano km kifo cha Akwelina, kutekwa kwa Roma na kutishwa kwa askofu Kakobe.