Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linapasua air waves hadi kwa walengwa.Pini limesimama hilo
Ni kweli mkuu,tatizo anaweza kufa asifufuke tena,Anaendeleaa kusogea goligota akifikaa atatupa mrejeshooo
Hahahha hapoo sasa wadaau watafikiria goligota kulia na nini mpaka asifiki na kutupa mrejesho ila naamn shonza atahitaji mazungumzo naeeNi kweli mkuu,tatizo anaweza kufa asifufuke tena,
Anaona jumanne iko mbali aanze naeShonza hatamuacha.
Hakuna vyombo vya habari mkuu, huyu ni kimya kimyaKamanda siro anamshemshia muarubaini wake.Siku si nyingi atahojiwa mbele ya vyombo vya habari.