Mzalendo nisiyeipenda nchi yangu

Mzalendo nisiyeipenda nchi yangu

Werewere

Member
Joined
Mar 23, 2019
Posts
19
Reaction score
10
Wana jamvi mtanisamehe. Kuna kitu kinanikera kuhusu Timu yetu ya taifa, aka taifa stars. Ni mda sasa hatufanyi vzr kweny mashindano ya kimataifa, tunashindwa hata na mataifa jiran kama Kenya, uganda,Burundi, DRC Congo, na wengineo. Hivi tunakwama WAP sisi maana ukiangalia hayo mataifa yaliyotupita mengi yalikuwa yanapitia wakat mgumu Kwa sababu ya vita, kama si wenyew Kwa wenyew bac na majiran zao. Tz tunakwama WAP? Kwahy sisi tunaweza nn? Big brother?(kunaniiii)? Ama? Kwel nimechoka. Asanten ila ukwel ndo huo na Leo tukifungwa tena duuuhhhhhhh!!!!!.
 
Alafu ukichukua population wize tunawazid wote kumamae nimekasirika leo acha tu
 
Back
Top Bottom